Kuanzia January hadi sasa October mapenzi yamekugharimu nini?

Duh mtu unahonga milion 2????mamaeeee kuna watu mnapenda uchi asee
 
Madaktari wanasema hivyo.
Uchafu unapita lwenye kile kitundu. Wanaume wengi wanaopata UTI ni wafukuaji mitaro.
Wanawake wanapata sana UTI na wao je sababu ni kuchezewa mitaro au kuna sababu zingine nje ya box?
 
mwaka huu yamenigharimu sana !Dem nilnnunulia kila kitu cha ndani ,baadae akahamia sehemu nyingne bila kuniambia nikaachana nae mwingne niligharamia nauli alikuw anasoma chuo mwanza kuja songea na akaibiwa simu yake stend nikamnunulia akaja songea akawa anatoka na dereva bajaji nikamtema.
Ulitapeliwa pole sana,uyo alikuwa anataka kianzio Cha maisha,alafu unakuta anakuta Kuna jamaa anakula tunda uko alipohamia.
 
Mwendo wa mizinga sometimes unatamani urudi chama la wana "Chaputa ",ili uendeleze harakati za kupanda mnazi kwa mkono mmoja.
 
iPhone X
Ada nusu (550,000)
Kodi miezi 3 (450,000)
Dressing Table (350,000)
Nauli ndege mara 2 (280,000 x2)
Mshahara/allowance kila week 50k
Emergency za kusuka vocha dinner
Naumwa nn sijui fakes kibao

Qqmmmkk sahivi am single singeli kuanzia Mwezi wa 9..

Wanawake wanawake wanawake

Haya bwana..
Wewe si umeshampata mwingine
 
mwaka huu yamenigharimu sana !Dem nilnnunulia kila kitu cha ndani ,baadae akahamia sehemu nyingne bila kuniambia nikaachana nae mwingne niligharamia nauli alikuw anasoma chuo mwanza kuja songea na akaibiwa simu yake stend nikamnunulia akaja songea akawa anatoka na dereva bajaji nikamtema.
Songea to mwanza nauli/83000 plus simu
 
Back
Top Bottom