deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 520
Habari wadau,toka leo asubuhi TBC 1 sijaipata je wamebadiri masafa? Msaada wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumia dish la FTA cband fut 6 sio hivi vidogo umenipata?...
wapo hapo ila wameboresha urushaji kwa s2 na kujimilikisha tbc2 na Safari channel.
...
Kujimilikisha TBC 2 kivip kwani mwanzo ilikua ya nani?...
wapo hapo ila wameboresha urushaji kwa s2 na kujimilikisha tbc2 na Safari channel.
...
...
...
Duuh umetumia lugha ya kitaalamu hebu nijulishe kwa lugha rahisi nimjulishe fundi tuko vijijini huku kaka....
Ndio lnb kubwa, wapo IS906 hapohapo ila fanya blind scan ukitumia dekoda ya s2 ~ mpeg4.
...
Inamaana kwa sasa ukiipata TBC 1 unapata zote kwa mpigo kama vile za IPP au inakuaje?...
Ubia na nyota ya wakati.
...
...
Ndio lnb kubwa, wapo IS906 hapohapo ila fanya blind scan ukitumia dekoda ya s2 ~ mpeg4.
...
Jana nimeblind scan sikupata chochote kama umeipta tupe frequency zake.Receiver yangu ni Full HD....
Ndio lnb kubwa, wapo IS906 hapohapo ila fanya blind scan ukitumia dekoda ya s2 ~ mpeg4.
...
...Inamaana kwa sasa ukiipata TBC 1 unapata zote kwa mpigo kama vile za IPP au inakuaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
...
Nikimwita fundi nimwambiaje manake mafundi huku lugha ya kigeni ishu broo nisaidie...
mp4 na s2
...
Jana nimeblind scan sikupata chochote kama umeipta tupe frequency zake.Receiver yangu ni Full HD.