Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,357
Hongereni wanamwanza! Twende 2015!
Ni hivi , ccm wanachaguliwa na miti , mapori na mashamba bali cdm huchaguliwa na watu , hushinda penye makazi ya watu .munashangilia mumefungwa goli kidogo!!afadha ngoma ingekuwa drow.
Wasira Alisema Chadema itakufa kabla ya 2014, Sasa ijui alikuwa anaongea kisengerenyuma.
CCM 99 CHADEMA 70 halafu CCM imezikwa Mwanza!!!! Bangi bwana ni noma.
Kumbuka kabla ya hapo ccm ilikuwa ina mitaa yote...usiangalie kuwa na viti vingi,angalia umepoteza vingapi
Tatizo ni Uzi ulivyowekwa. Huwezi ukasema CCM yazikwa wakati ina viti vingi zaidi, labda ungesema yaelekea kuzikwa kama ungetuonesha kabla ya uchaguzi huu ilikuwa na viti vingapi.
tatizo ni uzi ulivyowekwa. Huwezi ukasema ccm yazikwa wakati ina viti vingi zaidi, labda ungesema yaelekea kuzikwa kama ungetuonesha kabla ya uchaguzi huu ilikuwa na viti vingapi.
Dr slaa ndiyo padri muongoza ibada?Ni hakika 'kaburi' la kuizika CCM limeshachimbwa na UKAWA katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kwa Jiji la Mwanza CCM imepata viti 99 Chadema 70. Kwa maana hiyo Mbunge wa Nyamagana, Ezekile Wenje wa Pipooz anakusudia kufanya ibada maalumu kwa ajili ya kuwashukuru wananchi kwa kuichagua Chadema na UKAWA. Ibada itajumuisha madhehebu yote na itakuwa ya wazi.
CCM 99 CHADEMA 70 halafu CCM imezikwa Mwanza!!!! Bangi bwana ni noma.
CCM 99 CHADEMA 70 halafu CCM imezikwa Mwanza!!!! Bangi bwana ni noma.
CCM 99 CHADEMA 70 halafu CCM imezikwa Mwanza!!!! Bangi bwana ni noma.
Labda muongoza ibada awe mzee slaa padri muasi.
CCM 99 CHADEMA 70 halafu CCM imezikwa Mwanza!!!! Bangi bwana ni noma.
kwa wizi wa pesa za umma ni ccm tuu ndo chama pekee duniani chenye viongozi wezi na mafisadiCCM bado ni chama bora cha kisiasa kuwahi kutokea duniani.