Kuangushwa CCM Mwanza, WENJE kuwashukuru wana Mwanza kwa Ibada maalum

khee huo ni ushindi mkubwa sana ukizingatia kila kitu kilisimamiwa na serikali ya ccm achalia mbali pingamizi na msaada wa police .....hongera ukawa
 
Halafu Wenje hajawepo town kipindi chote cha kampeni akaibuka siku ya kufunga kampeni,akapiga mikutano jiji zima ,tena kwa bodaboda ,akiwa roba mbaya,dah!watu wanavipaji na salute kwake
 
nadhani ni sahihi zaidi kusema ni ibada ya kumshukuru Mungu kwa mafanikio hayo,hakuna ibada ya kuwashukuru wananchi
 
Sio useme bangi,angalia uko nyuma ccm walikuwa na vijiji vingapi na mitaa mingapi? na chadema pia,sasa angalia uchaguzi huu chadema wamepataje na ccm wamepataje,kama ccm waedrop ndo kushindwa kwenyewe huko,na cdm kama wameongeza ndo dira nzuri hivyo.,Huwe unaelewa ww
 
Halafu Chama Cha Maescrow wanakuja hapa na kudai Wenje harudi bungeni!. In a nutshell kanda ya ziwa ni stronghold ya CHADEMA.

Waache walivyo mkuu wanasemaga Mbunge wa Ilemela Highness Kiwia hafai eti ni form 4 tu na nimsela,but Kawafanyaje uchaguzi huu?Ilemela imetishaaaaa,halafu ndiyo kwa Mwenyekiti wa ccm Mwanza Diallo
 
Ikiwezekana fungeni ata kula kabisa ili maombi yenu ya kuindoa escrow yatimie
 
Wacha uongo wewe!! tangu 2009:-

1. Mtaa wa Kilimahewa ni Seleman Sanga-TLP
2. Mtaa wa Isamilo ni Filbert Bulinjiye-Chadema.

hawa ni wale nao wakumbuka na niliofanya nao kazi hivyo futa kauli yako kuwa tangu 2009 mitaa yote ilikuwa ccm
Basi sawa, kwa ushahidi wako umekubali tangu 2009 CHADEMA kilikuwa na mtaa 1, sasa 2014 imeongeza mitaa 69.
 
Back
Top Bottom