Kuangushwa CCM Mwanza, WENJE kuwashukuru wana Mwanza kwa Ibada maalum

Pwaaaa

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
248
67
Ni hakika 'kaburi' la kuizika CCM limeshachimbwa na UKAWA katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kwa Jiji la Mwanza CCM imepata viti 99 Chadema 70. Kwa maana hiyo Mbunge wa Nyamagana, Ezekile Wenje wa Pipooz anakusudia kufanya ibada maalumu kwa ajili ya kuwashukuru wananchi kwa kuichagua Chadema na UKAWA. Ibada itajumuisha madhehebu yote na itakuwa ya wazi.
 
Nina wasiwasi mwanza ukawa hamkuungana.ebu pimeni matokeo ya kwa tundulisu na moshi.uko mwanza ni kama mmeshindwa ODC
 
Wasira Alisema Chadema itakufa kabla ya 2014, Sasa ijui alikuwa anaongea kisengerenyuma.
 
Muanzisha mada tafadhali tujuze kabla ya uchaguzi CCM walikuwa na viti vingapi na CDM vingapi hapo ndio tutajua nani kalamba dume muzeee.

Ni hakika 'kaburi' la kuizika CCM limeshachimbwa na UKAWA katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kwa Jiji la Mwanza CCM imepata viti 99 Chadema 70. Kwa maana hiyo Mbunge wa Nyamagana, Ezekile Wenje wa Pipooz anakusudia kufanya ibada maalumu kwa ajili ya kuwashukuru wananchi kwa kuichagua Chadema na UKAWA. Ibada itajumuisha madhehebu yote na itakuwa ya wazi.
 
Kumbuka kabla ya hapo ccm ilikuwa ina mitaa yote...usiangalie kuwa na viti vingi,angalia umepoteza vingapi

sio kila mtu anaweza kukumbuka amepoteza ngapi.ni mpaka uwe na akili za kufikiri mwenyewe.ukimuachia nape akusaidie kfikiri ni tatizo
 
Kumbuka kabla ya hapo ccm ilikuwa ina mitaa yote...usiangalie kuwa na viti vingi,angalia umepoteza vingapi

Wacha uongo wewe!! tangu 2009:-

1. Mtaa wa Kilimahewa ni Seleman Sanga-TLP
2. Mtaa wa Isamilo ni Filbert Bulinjiye-Chadema.

hawa ni wale nao wakumbuka na niliofanya nao kazi hivyo futa kauli yako kuwa tangu 2009 mitaa yote ilikuwa ccm
 
Ni hakika 'kaburi' la kuizika CCM limeshachimbwa na UKAWA katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kwa Jiji la Mwanza CCM imepata viti 99 Chadema 70. Kwa maana hiyo Mbunge wa Nyamagana, Ezekile Wenje wa Pipooz anakusudia kufanya ibada maalumu kwa ajili ya kuwashukuru wananchi kwa kuichagua Chadema na UKAWA. Ibada itajumuisha madhehebu yote na itakuwa ya wazi.

Huyo ambaye ataongoza hiyo ibada atakuwa punguani I.e hana akili mana mungu hayuko biased kiasi cha kukandamiza watu wengine na kuwaraise watu fulani.kama hiyo ibada itakuwa imelenga kuwa na mission hiyo basi mchungaji au padre huyo atakuwa anadhalilisha kanisa au la kama ni imamu atakuwa anaaibisha misikiti.
 
Halafu Chama Cha Maescrow wanakuja hapa na kudai Wenje harudi bungeni!. In a nutshell kanda ya ziwa ni stronghold ya CHADEMA.
 
Back
Top Bottom