Kuangushwa CCM Mwanza, WENJE kuwashukuru wana Mwanza kwa Ibada maalum

Wasira Alisema Chadema itakufa kabla ya 2014, Sasa ijui alikuwa anaongea kisengerenyuma.

Wale magamba wenzake na mashabiki wake huu ndio muda wa kumwuliza kuwa,INAKUWAJE CHAMA KILICHOKUFA KISHINDE MTAA WAKE YEYE MWENYEWE? CHADEMA imempa za uso hapo hapo nyumbani kwake kata ya Nyasura~Bunda
 
CCM 99 CHADEMA 70 halafu CCM imezikwa Mwanza!!!! Bangi bwana ni noma.

Ukiondoa Mapingamizi ya kihuni,nguvu ya dola,wakurugenzi na wasimamizi kuhujumu cdm,hawana chao hao magamba! Pia tumia akili ujiulize kabla ya uchaguzi huu cdm ilikuwa inaongoza mitaa mingapi? Ccm inazidi kukimbiwa na cdm inazidi kuongeza wafuasi na wanachama kila uchao jambo ambalo litapelekea ccm kubakiwa na mafisadi na familia zao tu!
 
Safi kwa kua tulianza na mungu pia tutamaliza na mungu

Ccm wasubir mziki wa kesho tu ni aibu ya mwaka marudio.
 
Kumbuka kabla ya hapo ccm ilikuwa ina mitaa yote...usiangalie kuwa na viti vingi,angalia umepoteza vingapi

Tatizo ni Uzi ulivyowekwa. Huwezi ukasema CCM yazikwa wakati ina viti vingi zaidi, labda ungesema yaelekea kuzikwa kama ungetuonesha kabla ya uchaguzi huu ilikuwa na viti vingapi.
 
Tatizo ni Uzi ulivyowekwa. Huwezi ukasema CCM yazikwa wakati ina viti vingi zaidi, labda ungesema yaelekea kuzikwa kama ungetuonesha kabla ya uchaguzi huu ilikuwa na viti vingapi.

Kama utakuwa na kumbukumbu Babu JK katika hotuba zake alishatamka kuwa haoni chama cha upinzani imara kitakachoweza kuing'oa CCM zaidi ya CHADEMA .
Kauli hii sasa ndio tunaona ushuhuda wake.
 
Ni hakika 'kaburi' la kuizika CCM limeshachimbwa na UKAWA katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kwa Jiji la Mwanza CCM imepata viti 99 Chadema 70. Kwa maana hiyo Mbunge wa Nyamagana, Ezekile Wenje wa Pipooz anakusudia kufanya ibada maalumu kwa ajili ya kuwashukuru wananchi kwa kuichagua Chadema na UKAWA. Ibada itajumuisha madhehebu yote na itakuwa ya wazi.
Dr slaa ndiyo padri muongoza ibada?
 
Hizi shule za kata ni shida saana ila nashukuru hizi ndizo zinaongeza wanachama na wapenzi wa UKAWA. Ukiwa hujui hesabu uwe unaakaa kimya. Viti 99 versus 70, the difference is not statistically significant, meaning P-value is not less than 5% (0.05). Pole mkuu kama utashindwa kuelewa, I am speaking of fact with numbers not kutoa mapovu tu.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom