1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo
2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasa
hali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho
3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.
Wewe mwenyewe kupanga maneno ni mtihani na wewe utakuwa CCM
Huna akili timamu wewe........hata mpangilio wa thread yako uanaonyesha hujui kupanga hoja,na mara nyingi watu wasioweza kupanga hoja ni member wa CCM...
hivi humu tunajadiliana na kula kulala mnatuboa wengine tunahudumia familia ujadili ukiwa unajua maisha yalivyoZiki za watu hunazipima kwa hoja au unazipimeje ? kumbe wewe bado unalelewa na baba ? pole sana , wengine hapa tunalea watu , sasa jiulize wewe unayelelewa na wanaolea nani mwenye dhiki ?
Ndiyo mwisho wa mawazo yako
Hata wale walio kua wanasifia Phd yake ya Ekaristi takatifu kutoka Rome wamekuwa kimya!1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo 2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasahali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.
Kama wazazi wako wamepata elimu basi ama hawakukuwezesha na wewe kupata elimu au elimu yao haikuwasaidia kukujengea uwezo wa kufikiri.teh teh wengi wenu dhiki ndo zinawasumbua msiilaumu ccm walaumuni wazazi wenu ndo walikuwa wazembe kutokuwa na elimu ndo mana mpo hapo saivi mnabwabwaja mkiamini padri may be atawakumbuka kwenye ufalme wake
Wewe sio mzima wewe, ni wa kupima!!!!!!teh teh wengi wenu dhiki ndo zinawasumbua msiilaumu ccm walaumuni wazazi wenu ndo walikuwa wazembe kutokuwa na elimu ndo mana mpo hapo saivi mnabwabwaja mkiamini padri may be atawakumbuka kwenye ufalme wake
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo
2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasa
hali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho
3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.
Jina zuri akili mbaya, you need a brain transplant!!!posho milioni 7.5 na hakuna kodi. hapo atakosa kuiba wake za watu.daktari wa wakatoliki ndio maana upadre ulimshinda.kaikimbia jf kuogopa maswali ya posho.nape tunakupenda sante kwa kumfukuza slaa jf.
Kwa taarifa yako watanzania sasa hivi hawadanganyiki, unajifanya hauna dhiki kwa sababu uko kwenye system, watu wabinafsi kama nyinyi mnaojifikiria wenyewe tu lazima muogope mabadiliko kwa sababu once the system collapse u also collapse so lazima mpinge mabadiliko ili mwendelee kua kwenye system. Tulipofikia mabadiliko hayakwepeki ni kama kuzuia mvua kama inanyesha inanyesha tu kwa hiyo jipangeni vizuri.1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo
2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasa
hali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho
3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.
posho milioni 7.5 na hakuna kodi. hapo atakosa kuiba wake za watu.
daktari wa wakatoliki ndio maana upadre ulimshinda.
kaikimbia jf kuogopa maswali ya posho.
nape tunakupenda sante kwa kumfukuza slaa jf.
upo sahihi mkuu.Huna akili timamu wewe........hata mpangilio wa thread yako uanaonyesha hujui kupanga hoja,na mara nyingi watu wasioweza kupanga hoja ni member wa CCM...
Hata wale walio kua wanasifia Phd yake ya Ekaristi takatifu kutoka Rome wamekuwa kimya!
UlijuajeA lose Dk Slaa, leo nimemuona kwenye TV anaongea na wanafunzi wa vyuo yaani yupo mkiwa sana! dhambi ya pesa za wananchi (Ruzuku) kufanya maandamano kisha wanagawana posho, naona inamtafuna na bado mpaka kieleweke
Hata wale walio kua wanasifia Phd yake ya Ekaristi takatifu kutoka Rome wamekuwa kimya!