kama nyie mnaamini maneno ya mwalimu pia alisema 'upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm'
mimi nashangaa hawa kina Dr.salim,Mwandosya and the likes wanachosubiri nini mpaka sasa??
huwa mnakosea kuhusu msemo wa mwalimu kuwa bila ccm madhubuti ccm itayumba. mwalimu alikuwa na mazoea ya kuzungumza kufuatana na nyakati. kwa wakati ule ilikuwa ni kweli kwa kuwa bila ccm manake ingekuwa ni mrema na nccr mageuzi. lakini mwalimu angekuwepo leo angesema kitu kingine kabisa, yaani bado mnaamini bila ccm ya akina jk, lowas, chenge, rostam, makamba, na wengine nchi itayumba?
pia tunapokariri misemo ya mwalimu tusichukue vipande vipande, kwa pale dodoma kuna bango kubwa sana pale kuu street limewekwa na kampuni moja ya kifisadi inayoitwa OITDOOR LENYE MAANDISHI MAKUBWA BILA CCM MADHUBUTI TAIFA LITAYUMBA. mbona hawajaandika kuhusu msemo maarufu wa mwalimu kuwa ccm si mama yake na kuwa angeweza kuachana nacho wakati wowote?
Sasa hiyo CCM ikifa waliokuwa mafisadi ndani yake wataenda wapi?
Huwezi kumkumbatia mwenye mivi na wewe ukatoka na kuonekana msafi ,unajua hata ukisafiri basi abiria wengine wakikuona na pasipoti ya Tanzania utaona wanavutavuta na kukusanya mikobakoba yao karibu na kukutizama kwa jicho la pembeni huku wakikonyezana ,wanatuona nasi ni mafisadi na tunauzoefu wa mkonomkono.Wandugu hawa mafisadi athari yao si ndogo ni hatari kweli.kwani CCM ndo fisadi?CCM haitakufa maana kuna wasafi pia!
kama wapo si wawaondoe mafisadi. Unakumbuka mafisadi wameisha sema ndani ya CCM kuwa wao ni watu wazito? Sasa wazito tena kuna wengine? CCM walisha sema CCM ina wenyewe na wenyewe ni .............kwani CCM ndo fisadi?CCM haitakufa maana kuna wasafi pia!
kama wapo si wawaondoe mafisadi. Unakumbuka mafisadi wameisha sema ndani ya CCM kuwa wao ni watu wazito? Sasa wazito tena kuna wengine? CCM walisha sema CCM ina wenyewe na wenyewe ni .............
Huwezi kumkumbatia mwenye mivi na wewe ukatoka na kuonekana msafi ,unajua hata ukisafiri basi abiria wengine wakikuona na pasipoti ya Tanzania utaona wanavutavuta na kukusanya mikobakoba yao karibu na kukutizama kwa jicho la pembeni huku wakikonyezana ,wanatuona nasi ni mafisadi na tunauzoefu wa mkonomkono.Wandugu hawa mafisadi athari yao si ndogo ni hatari kweli.
Wenyewe ni wana CCM!ufisadi ni tabia ya mtu na siyo chama!Wewe tulia Dawa ya mafisadi ipo jikoni!pia dawa ya mafisadi tunayo sisi wenyewe maana sisi ndo wapiga kura!
Hivi kweli unafikiri CCM itakufa?ama kweli ndoto za mchana!
Huwezi kumkumbatia mwenye mivi na wewe ukatoka na kuonekana msafi ,unajua hata ukisafiri basi abiria wengine wakikuona na pasipoti ya Tanzania utaona wanavutavuta na kukusanya mikobakoba yao karibu na kukutizama kwa jicho la pembeni huku wakikonyezana ,wanatuona nasi ni mafisadi na tunauzoefu wa mkonomkono.Wandugu hawa mafisadi athari yao si ndogo ni hatari kweli.
ndoto zingine ni sawa na burudani...
Ungetueleza basi itakufa kivipi