dark city .......hujui kuwa waswahili wanasema 'mapenzi ni kudanganyana'?
sasa huwa hutizami kweli ile tamthilia, una hang tu pale ukumbuni maybe na kitabu chako au na gazeti lako (whatever else u want to do), bila ya kuangalia hiyo tamthilia ............mradi akuone tu uko karibu na umemuonea huruma kumkosesha kutizama tamthilia yake kwa wakati aliotaka
Apo ni mtihani jamani, TV mbili sishauri, kama mchangiaji mmoja alivyosema huo utakuwa mwanzo wa kupoteza network (mawasiliano), kwa maana nyingine mtakuwa hamwezi kuchangia vitu.
Unless uwe mwanaume dhaifu ndio utaletewa ujinga huo...
Kombe la dunia ni mara moja kwa miaka minne..
Mechi ni laivu na hazirudiwi
wakati tamthilia zipo na haziishi.na marudio yapo kila siku....
Mimi hata aje mama mkwe na mama mzazi na mke na dada.....
Ni kombe la dunia tu mpaka liishe..........