kuangalia PM jf

kuangalia PM jf

kambi7

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
773
Reaction score
589
wakuu msaada nakamuda nimejiunga ila kucheki pm ni jangaa
natanguliza shukrani.
 
wakuu msaada nakamuda nimejiunga ila kucheki pm ni jangaa
natanguliza shukrani.

Angalia kwenye menu Bar ya JF kwa juu utaona "Notification" hapo utapata sehemu kuna "Private Message"

Alternatively,Bofya settings kwenye menu bar afu kushoto kwako utaona sehemu ya INBOX

N:B Hautakuta PM kama haujawai tumia kwa nsaada zaidi na kukupima kama umeelewa angalia PM nilokutumia afu nijibu
 
wakuu msaada nakamuda nimejiunga ila kucheki pm ni jangaa
natanguliza shukrani.

>Je unatumia kifaa kipi kuingia JF?
>Je ni tatizo lipi hasa unakumbana nalo?
>Majanga kivipi?
Weka maelezo ya kujitosheleza kwa tatizo upatalo, ili upate msaada stahili !
KARIBU
 
wakuu msaada nakamuda nimejiunga ila kucheki pm ni jangaa
natanguliza shukrani.

kwa kua umenijibu PM basi umenielewa

japo nime-assume unatumia computer na bila shaka ndo unatumia ndo maana ukaelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom