Kuangalia matokeo ya UDOM tafadhali

Kuangalia matokeo ya UDOM tafadhali

TuntemekeSanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
1,346
Reaction score
863
Habar zenu wakuu. Nina shida yakuona matokeo ya UDOM ya mwaka 2011 online kupitia ARIS. Lakini nikilog on baada yakuweka Username na password naona chenga tofauti na miaka flan yanyuma hiko.

Kama kuna mwenye kufahamu humu juu ya tatizo hilo anisaidie. Au utaratibu ushabadirika?

Msaada plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UDOM hawatumii ARIS wanatumia SR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa inafungwa mkuu maana ile inakuwa updated Kila mwaka wa masomo unapoanza hasa kwa UDOM ukifanya usajili semester moja tu inakuwa mwaka mzima then inakuwa inactive... Asa tangu 2011 kweli mpk leo system haikumbuk kabisa Kama Kuna Jina lako na T/UDOM/2000.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Asante mkuu. Nimeweka T/UDOM/2008......…. naona kimya. Ko ukitaka kuchek online hakuna namna. Si ndio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulikuwa unasoma wakati mnatumia ARIS basi sasa wako SR, pili ukisha graduate basi akaunti inafungwa na hauwezi ku access tena ndio maana unapewa transcript
 
Nimehitimu 2016 na juzi tu nimetoka kuingia UDOM-SR imekubali. Unaweza kuona matokeo yako pamoja na courseworks ila kuna baadhi ya sehemu unakuwa huna uwezo wa kuingia. Sasa sijui labda ndugu yetu amehitimu muda mrefu.
 
Huwa inafungwa mkuu maana ile inakuwa updated Kila mwaka wa masomo unapoanza hasa kwa UDOM ukifanya usajili semester moja tu inakuwa mwaka mzima then inakuwa inactive... Asa tangu 2011 kweli mpk leo system haikumbuk kabisa Kama Kuna Jina lako na T/UDOM/2000.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani ndugu kwangu imekubali labda kama umehitimu muda mrefu.
 
Back
Top Bottom