Njia rahisi ya kuangalia on-line TV channels kwenye PC

JMF

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
1,782
Reaction score
2,844
Salaam wana JF.

Leo nimeamua ku share nanyi njia nyingine rahisi sana ya kuangalia channels mbali mbali za TV kupitia vlc-player ya computer yako ukiwa na internet. Njia hii inatumia low bandwith na unaweza ku stream HD tv hata kwa net ya 256kbs. Kwa leo nitaanza kwa kuwawekeeni channels 4 tuu.

Chakufanya:
1. Install vlc media player kwenye pc yako au kama tayari unayo, hakuna haja.
2. Download magnetic codes line niliyoiweka kwenye attachment na u save kwenye pc yako. Kisha right-click uifungue kwa kutumia VLC.
Hapo utaweza kutizama hizo channels nne bila kupitia njia complicated.

Mchana mwema.
 
Attachments

Shukran mkuu channels zipo clear
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
Kama huna internet, kuna tricky ya kuzi run kwenye king'amuzi chako hata kama hujalipia kwakuongeza codes maalum. Ilimradi tuu king'amuzi chako kiwe kinaweza ku communicate na service provider wako kupitia channel moja ya bure na kiwe na uwezo wa kusoma USB. Next time I'll share the trick though it's illegal right here. Tz sijui. So you'll do it at your own risk.
 
Salaam wana JF.

Leo nimeamua ku share nanyi njia nyingine rahisi sana ya kuangalia channels mbali mbali za TV kupitia vlc-player ya computer yako ukiwa na internet. Njia hii inatumia low bandwith na unaweza ku stream HD tv hata kwa net ya 256kbs. Kwa leo nitaanza kwa kuwawekeeni channels 4 tuu.

Chakufanya:
1. Install vlc media player kwenye pc yako au kama tayari unayo, hakuna haja.
2. Download magnetic codes line niliyoiweka kwenye attachment na u save kwenye pc yako. Kisha right-click uifungue kwa kutumia VLC.
Hapo utaweza kutizama hizo channels nne bila kupitia njia complicated.

Mchana mwema.
Bezikale.....
 
Iko poa kwenye sim
1476938112253.png
 
Samahani hizi link naweza kuzipata kupitia source gani mkuu
 
Back
Top Bottom