Naomba link ya kudownloadKwenye hii apps ya live stream player
Unaweza pia kupa channel za Kenya km
NTV
KTN
K24
Citizen
Kwa kuseach kwenye add button kwa kuandika keyword
Kama ktn
Uta enjoy
http://store.mdcgate.com/market/app_detail?appID=22&platformID=6Naomba link ya kudownload
Yaah n kweli lakini faida ya live stream playerhizo link nimejaribu zinaplay hata kwa media player ya simu unaweza kuitumia hiyo kuliko kudownload play store app
Search azam hd.ipoooMkuu mbona kwangu inakataa inasema "This stream is offline, try again later???"
gb 10 kwa 9999Halotel nasikia wana kifurushi cha gb 5 kwa 500 ni kweli