Kuachwa na your/my first love -vs- umri

......hommie....katika umri wowote ule....nafirkiri hata over 70s KUACHWA ni sawa na kichapo tu, kuumia mna umia sawa sawa! Anaye acha ni sherehe, wakati mtosaji ni msiba!

Ila ukiangalia kati ya hawa wawili, mwenye umri mdogo vs kikongwe mwenye umri mdogo anaweza kulicover haraka zaidi kuliko mwenye umri mkubwa....! u know why? back up zenye umri mkubwa ni chache sana in case ukaachwa ukiwa mzee...na ukishuka kwa viserengeti...hakuna true love ni pressure tupu....! lakini kwa vijana.....mbuga za wanyama kibao...hufi njaa ng'oo....!

BAABAAA BABAAAA BAABAAAAA...babaa huyooooooooooo BABAAAA BABAAA huyoooo BABAAAAAA BABAAA huyoo BABAAAAAA

age aint nothing but a no tu! mtu aumwae kichwa na tumbo wooote wanamaumivu makali lkn inategemea na handling ya mtu ktk maumivu hayo!mwingine anaweza kujikaza kutokana na mazingira mwingine hawezi na kila mmoja anaona ugonjwa wake ni zaidi ya mwingine!,katika misiba pia tumeona kuna watu wanalia sana hasa wanawake lkn haimaanishi wanaume hawana uchungu na msiba huo,na wao kwa nafasi yao wanalia pia tena sana tu!Kuna Dr mmoja alinipa mfano kwamba ktk ajali ya gari ukiona mtu analia kwa nguvu mama weeeee mguu wangu mm,mwangalie vzr atakuwa kachubuka kidogo tu!lkn kuna mtu kakaa pembeni wala halii lkn haelewi kitu gani kimetokea na pemgine anataka kutoka hapo eneo la tukio mwangalie vizuri utakuta kavunjika mguu lkn kwa wakati huo hana maumivu bado ni madogo madogo sana!nadhani nimeeleweka.
 
Mkuu mimi sijawahi kuachwa wala kuacha, Niliyempata ndio huyo huyo so sijui inaumaje, ila kwa experience ya Mabibo Hostel naweza kuelezea jinsi watu walivyokuwa wanalia na wengine kugeuzwa vichaa rejea yule kaka yetu pale mabibo hostel aliyempenda sana binti yule binti akampiga kibuti bado jamaa akawa anaenda pale block B kuomba msamaha japo hana kosa matokeo yake yule msichana akamwitia kelele za mwizi vijana wakamponda hasa maeneo ya kichwa na jamaa akili zake mpaka leo zimepishana (Kichaa)
ok ok....!
kwa hiyo kuumia sana ni FUNCTION OF UMRI?
 
age aint nothing but a no tu! mtu aumwae kichwa na tumbo wooote wanamaumivu makali lkn inategemea na handling ya mtu ktk maumivu hayo!mwingine anaweza kujikaza kutokana na mazingira mwingine hawezi na kila mmoja anaona ugonjwa wake ni zaidi ya mwingine!,katika misiba pia tumeona kuna watu wanalia sana hasa wanawake lkn haimaanishi wanaume hawana uchungu na msiba huo,na wao kwa nafasi yao wanalia pia tena sana tu!kuna dr mmoja alinipa mfano kwamba ktk ajali ya gari ukiona mtu analia kwa nguvu mama weeeee mguu wangu mm,mwangalie vzr atakuwa kachubuka kidogo tu!lkn kuna mtu kakaa pembeni wala halii lkn haelewi kitu gani kimetokea na pemgine anataka kutoka hapo eneo la tukio mwangalie vizuri utakuta kavunjika mguu lkn kwa wakati huo hana maumivu bado ni madogo madogo sana!nadhani nimeeleweka.
copy!...
 
......hommie....katika umri wowote ule....nafirkiri hata over 70s KUACHWA ni sawa na kichapo tu, kuumia mna umia sawa sawa! Anaye acha ni sherehe, wakati mtosaji ni msiba!

Ila ukiangalia kati ya hawa wawili, mwenye umri mdogo vs kikongwe mwenye umri mdogo anaweza kulicover haraka zaidi kuliko mwenye umri mkubwa....! u know why? back up zenye umri mkubwa ni chache sana in case ukaachwa ukiwa mzee...na ukishuka kwa viserengeti...hakuna true love ni pressure tupu....! lakini kwa vijana.....mbuga za wanyama kibao...hufi njaa ng'oo....!
Mkuu......mjini hapa:
serengeti boys ni dhahabu kwa twiga stars na akina ankal ni almasi kwa serengeti ladies (kama wapo).

Sijui kama umenisoma.
 
Baba_Enock hajawahi kuachwa ila huwa anaacha, kwahiyo sijui hayo "maumivu" yanakuwaje? {disarmed}!
 
Hapa ngoja ningalia kwa mtizamo wa kidunia na kimbigu
Kidunia!22
Kwa mwanaume/ mwanamke maumivu ni yale yale yanayoumiza na kukuacha ukitafakari mengi ingawa baada ya muda wote watasau na huku kila mmoja akiamini umri bado unaruhusu na uwezo wa kumpata mwingine atakayempenda kwa dhati na kuanza maisha mapya pia ndoto zote alizokuwa nazo bado zikaendelea kuwepo pasipo pingamizi la aina yoyote
Kidunia!32
Kwa mwanaume:-
Mwanaume ataumia sana na kuona kama amepoteza muda mwingi na umri unakimbia lakini bado anauweza wa kutafuta mwanamke anayempenda na wa umri wowote kwake na kummiliki pia hata kutimiza ndoto zake zooote alizopanga katika maisha bila vikwazo ,
Kwa mwanamke:-
Ooops Kwa mwanamke ataumia saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana na sana kwa sababu akianza kuhesabu umri umeenda ataanza kukata tamaa kama kweli atakuja kumpata mwenza wa ndoto zake atakayetimiza matarajio yake ,
Mwanamke atanyong'onyea na kuwa mwingi wa mawazo huku akiamini sasa itabidi aanze kucheza pata potea
Na ndio maana wengine hujikuta wamejitumbukiza katika mahusiano yasiyo mazuri na kuanza ku-regret baadae kisa tu anaona umri unaenda na mambo hayaeleweki
Na inatokea wengine wanaamua kuzaa tu huku matumaini yanaendelea kufifia:A S 39:

Upande wa kimungu katika imani zaidi
Miaka 22 /32 (mwanaume na mwanamke)

Kumweka mungu kwanza asimamie maisha yako na kuamini kila jambo linawezekana kwake na kujua kuwa kila jambo huwa linatokea kwa sababu maalum
Itakupa faraja ya kuendelea kuishi kwa amani na huku ukiamini mwenyezi mungu ana makusudi makuu na maisha yako kama amekuumba ni yeye mwenye jukumu la kukutimizia mahitaji yako yote ya kiroho na kimwili
*Kwani alisema niite nami nitakuitikia nami nitakuonyesha mambo makubwa na magumu usiyoyajua*
Hivyo basi hutakiwa kukata Tamaa zaidi ni kuomba na kushukuru ukijua moyoni mwako yupo mwenyezi mungu aliyemuweka maalumu kwa ajili yako,Na hasa ukijua duniani kuna mapito na hiyo ni mojawapo ya mapito katika maisha yako haijalishi uko 22,32,42 ,nk nk
Amen

Asante FL1 umetoa mifano mizuri na ya kueleweka
 
Fidel kumbe umeanza zamani haya mambo eehhh darasa la saba hakiyamungu wewe kiboko. Kumbe mie nilivuta vuta muda mpaka chuooooooooo

Kumbukumbu zangu zinaonyesha nilianza matusi nikiwa hata chekechea/vidudu sijaanza
 
ok ok....!
kwa hiyo kuumia sana ni FUNCTION OF UMRI?

Aisee kuumia ni swala la kibailojia some are born imotionaly some are not, kwa mfano kuna mtu anaweza kufiwa na mzazi au mtoto lakini ukamkuta anacheka na yuko very strong. Mwingine anafiwa hata na mbwa wake analia na kuhara/due to stress wiki nzima
 
Teamo et al....
Nikisoma maoni ya watu hapo juu....napata hitimisho kwamba maumvivu ya kuachwa yanategemea na variables nyingi sana.......kama umri ukiwa constant....the equation becomes so complex that i cant really point out a single conclusion....kwamba kwa mwanamke pia anaangalia uwezakano wa kupata mwenza mwingine wakati wa kuachwa....(ni wazi kwamba sio rahisi kwa mwanamke wa miaka 40 kupata alternative kama ilivyo kwa miaka 20)....
Ila kiujumla the younger, the blinder........older a partner is, the more one can see things outside of the love box.....
I will be back!

Ngoja nami nijaribu.

Mwanaume at 32 yrs:
Ameshakomaa kifikra, ameshaona mengi, ameshashuhudia mengi yaliyowatokea waliogongwa.
Huyu akiingia kwenye relationship atakuwa makini, atakuwa anajua kuna kugongwa na madhara yake, atakuwa kwa kiasi flani anajiandaa incase akigongwa na vitu kama hivyo.
Huyu ataingia kwenye relationship akiwa na hisia za kimapenzi na yatokanayo na penzi hilo kwa upande wa mwenzie.
Huyu akigongwa, ataumia sana...lakini atapiga moyo konde, na kwa kuwa umri unaenda harakaharaka atatafuta mwanamke mwingine na yule aliyemgonga anageuka kuwa CRAP!

Mwanaume at 22:
Huyu ana hisia kali za kimapenzi, ndio kwanza nguvu za kiume zimekaa sehemu yake.
Huyu atataka apate kabinti kazuri, katakomrusha kitandani kisawasawa. Akipita nako mtaani vidume vimkubali...atatamba nako mtaani. kudanganyana kwa wingi.

Huyu akigongwa....maumivu yake hayasemeki(rejea posti ya Bigirita hapo). Atasononeka, atajisikia aibu mtaani, atajiona ana nuksi. Kutafuta mwingine atakuwa hajiamini..."Kama yule tuliyependana vile kaniacha...hao wngine vipi?"

Miaka 7 atamkumbuka kama Teamo anavomkumbuka (kwa mujibu wa thread) na babu Asprin nshajipatia mama Matesha wangu....wala siikumbuki ile crap!

I will also be right back!
 
loud and clear!...

NB:uliivunja ahadi y ako mwenyewe,dogo akawa anaulizia tu SHANGAZI YUPO WAPI?!...

Mwambie shangazi anisamehe mwaya mie bado ni shangazi yake tu
Itabidi nifanye namna ..
Vip Teamo wewe bado unamkumbuka aliyekupiga kibuti?:A S 39:
 
Ngoja nami nijaribu.

Mwanaume at 32 yrs:
Ameshakomaa kifikra, ameshaona mengi, ameshashuhudia mengi yaliyowatokea waliogongwa.
Huyu akiingia kwenye relationship atakuwa makini, atakuwa anajua kuna kugongwa na madhara yake, atakuwa kwa kiasi flani anajiandaa incase akigongwa na vitu kama hivyo.
Huyu ataingia kwenye relationship akiwa na hisia za kimapenzi na yatokanayo na penzi hilo kwa upande wa mwenzie.
Huyu akigongwa, ataumia sana...lakini atapiga moyo konde, na kwa kuwa umri unaenda harakaharaka atatafuta mwanamke mwingine na yule aliyemgonga anageuka kuwa CRAP!

Mwanaume at 22:
Huyu ana hisia kali za kimapenzi, ndio kwanza nguvu za kiume zimekaa sehemu yake.
Huyu atataka apate kabinti kazuri, katakomrusha kitandani kisawasawa. Akipita nako mtaani vidume vimkubali...atatamba nako mtaani. kudanganyana kwa wingi.

Huyu akigongwa....maumivu yake hayasemeki(rejea posti ya Bigirita hapo). Atasononeka, atajisikia aibu mtaani, atajiona ana nuksi. Kutafuta mwingine atakuwa hajiamini..."Kama yule tuliyependana vile kaniacha...hao wngine vipi?"

Miaka 7 atamkumbuka kama Teamo anavomkumbuka (kwa mujibu wa thread) na babu Asprin nshajipatia mama Matesha wangu....wala siikumbuki ile crap!

I will also be right back!

ninachoshindwa kuelewa ni hiyo dhana ya huyo mwenye 32 KUPATA UZOEFU WA KUONA NA KUSHUHUDIA PEKE YAKE TU.....!kwakweli kama ni ishu za kuona na kushuhudia tu hata darasa la 3-C wanaweza kuwa na uzoefu wa aina hiyo kwakuwa hivi vitu havitokei usiku tu

mimi naendelea kuhoji KUKOMAA KIFIKRA kwa huyo mwenye 32....!labda nithibitishiwe hapa kwamba fikra zinakomaa kwa UMRI TU....!yani UMRI TU FIKRA zinakomaa....!HAPA MIMI NITABISHA MPAKA ASUBUHI.tuna vijana wengi tu wenye 22-25 wana fikra pevu kabisa na wanajua wanachokifanya

NITARUDI
 
Mkuu......mjini hapa:
serengeti boys ni dhahabu kwa twiga stars na akina ankal ni almasi kwa serengeti ladies (kama wapo).

Sijui kama umenisoma.

Big,

Umesomeka lakini....kuna mipressure humo balaaa aiseee.....!
 
ninachoshindwa kuelewa ni hiyo dhana ya huyo mwenye 32 KUPATA UZOEFU WA KUONA NA KUSHUHUDIA PEKE YAKE TU.....!kwakweli kama ni ishu za kuona na kushuhudia tu hata darasa la 3-C wanaweza kuwa na uzoefu wa aina hiyo kwakuwa hivi vitu havitokei usiku tu

mimi naendelea kuhoji KUKOMAA KIFIKRA kwa huyo mwenye 32....!labda nithibitishiwe hapa kwamba fikra zinakomaa kwa UMRI TU....!yani UMRI TU FIKRA zinakomaa....!HAPA MIMI NITABISHA MPAKA ASUBUHI.tuna vijana wengi tu wenye 22-25 wana fikra pevu kabisa na wanajua wanachokifanya

NITARUDI

Kumbe lengo ni kubishana.

I will be right back!
 
Back
Top Bottom