Kuachwa na your/my first love -vs- umri

Kwa umri wa 32 si mzee Fidel. Vijana hawaumii zaidi?? sababu damu inachemka sana na anajua atapata mwingine

Mi niliumia saaaaaaaaana wakati namaliza darasa la 7 tajiri mmoja alinipindua mchumba wangu tokea hapo aaah nimekuwa sugu
 
Mimi sijawahi kuacha wala kuachwa.
Ila nahisi ukiachwa wakati umri ushaenda ni maumivu zaidi maana inapofikia umri fulani utahitaji kuwa na familia (mume/mke + watoto), inapotokea unaachwa kabla hujatimiza malengo unaumia zaidi lakini ukiachwa wakati umri bado tunaexpect tutapata wapenzi wengine yaani nafasi na muda bado upo.
 
Sasa hapa ndo linakuja lile swala la Ukiachwa:

ukiwa 22 kama ni mwanamke maumivu yanakuwa tofauti na kama 32
Ukiwa 22 kama ni mwanume maumivu yanakuwa tofauti na kama upo 32.

There for:

22yrs M = maumivu sanaaaa
22yrs F =maumivu kidogo
32yrs M = maumivu kidogooo
32yrs F = maumivu sanaaaa

Hence:

32yrs M goes to 22yrs F and,
32yrsF goes to 22yrs M.
 
Kuna swala la kuumia zaidi (ukubwa wa maumivu) Vs muda wa kuumia (maumivu endelevu..if you like). Kuna uwezekano mkubwa katika mfano wa kwanza (haijalishi umri) kwa kuwa ulikuwa mwaminifu kwa kipindi cha miaka 3, na mapenzi yenu hayakujengwa kwenye vitu wala tam tam, na ukweli kwamba binti aliondoka bila sababu na juhudi za kufahamu sababu zilishindikana. basi maumivu yatakuwa MAKALI na ENDELEVU na yasio-SAHAULIKA kirahisi. Kwa maan nyingine.......you will live to tell that story (kama ulivyodhihirisha hapa jf leo baada ya 7 years kupita:smile-big::smile-big:)

Kwa upande mwingine........ukiwa ankal kama Asprin, unaweza kuumia sana kwa muda mfupi kutegemeana na malengo uliyokuwa nayo na that partner of yours. Katika umri huo, ni wanaume wachache sana wanaotaka kuwa na gal friend tu hviv hivi bila kuwa/au kuanza kufikiri is she a compatible partner? Sasa kama dada akichapa lapa........ankal katika umri huo ni rahisi sana kuumia sana na ndani ya mwezi mmoja akapata replacement. Kumbuka umri ni muhimu sana hapa.........kijana wa 22 hawezi kupata replacement fasta fasta kwa minajili ya consolation ....CONSOLATION INAONDOA MAUMIVU......na consolation huwa zinatoka kwa back-up au X.......sasa kinaja wa 22 anaweza kuwa na back up? au akawa na X wa maana kiivo? jibu ni hapana.

Nawasilisha.

Nikiangalia mtiririko wa hii sredi nimegundua kitu kimoja...

Umri una mata......na Jinsia nayo ina mata!

Mwanamke wa miaka 32 years akiachwa, si sawa na mwanaume wa miaka 32 akiachwa.
Mwanamke wa miaka 22 akiachwa si sawa na mwanaume wa miaka 22 akiachwa

Sijui mmenielewa?

Endeleeni kujadili, babu atakonkludi.

Sasa hapa ndo linakuja lile swala la Ukiachwa:

ukiwa 22 kama ni mwanamke maumivu yanakuwa tofauti na kama 32
Ukiwa 22 kama ni mwanume maumivu yanakuwa tofauti na kama upo 32.

There for:

22yrs M = maumivu sanaaaa
22yrs F =maumivu kidogo
32yrs M = maumivu kidogooo
32yrs F = maumivu sanaaaa

Hence:

32yrs M goes to 22yrs F and,
32yrsF goes to 22yrs M.

:amen::amen::amen:
 
ha ha ha ha ha!

i hereby reserve my comments kwakuwa zinatofautiana sana na zako.....!
your judgement is still invalid so far
 
Duh!!!Miaka yote hiyo 6 hamkudu the nidful??!!
Umri haijalishi coz Maumivu ni sawa, inauma sana kumiminwa halafu hujamdu!!!
Vipi hapo inaonekana wote mlikuwa sio waaminifu ndo maana yakatokea hayo yote!!
Mlikuwa mnaleta MAPENZI ya walokole hakuna kudu kumbe wote wana vimada vya nje vya kukidhi haja zao!!!
Hapo aliona kijamaa kinamkoleza zaidi na wewe umaleta habari zako za kusubiri!!!!
 
Hapa ngoja ningalia kwa mtizamo wa kidunia na kimbigu
Kidunia!22
Kwa mwanaume/ mwanamke maumivu ni yale yale yanayoumiza na kukuacha ukitafakari mengi ingawa baada ya muda wote watasau na huku kila mmoja akiamini umri bado unaruhusu na uwezo wa kumpata mwingine atakayempenda kwa dhati na kuanza maisha mapya pia ndoto zote alizokuwa nazo bado zikaendelea kuwepo pasipo pingamizi la aina yoyote
Kidunia!32
Kwa mwanaume:-
Mwanaume ataumia sana na kuona kama amepoteza muda mwingi na umri unakimbia lakini bado anauweza wa kutafuta mwanamke anayempenda na wa umri wowote kwake na kummiliki pia hata kutimiza ndoto zake zooote alizopanga katika maisha bila vikwazo ,
Kwa mwanamke:-
Ooops Kwa mwanamke ataumia saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana na sana kwa sababu akianza kuhesabu umri umeenda ataanza kukata tamaa kama kweli atakuja kumpata mwenza wa ndoto zake atakayetimiza matarajio yake ,
Mwanamke atanyong'onyea na kuwa mwingi wa mawazo huku akiamini sasa itabidi aanze kucheza pata potea
Na ndio maana wengine hujikuta wamejitumbukiza katika mahusiano yasiyo mazuri na kuanza ku-regret baadae kisa tu anaona umri unaenda na mambo hayaeleweki
Na inatokea wengine wanaamua kuzaa tu huku matumaini yanaendelea kufifia:A S 39:

Upande wa kimungu katika imani zaidi
Miaka 22 /32 (mwanaume na mwanamke)

Kumweka mungu kwanza asimamie maisha yako na kuamini kila jambo linawezekana kwake na kujua kuwa kila jambo huwa linatokea kwa sababu maalum
Itakupa faraja ya kuendelea kuishi kwa amani na huku ukiamini mwenyezi mungu ana makusudi makuu na maisha yako kama amekuumba ni yeye mwenye jukumu la kukutimizia mahitaji yako yote ya kiroho na kimwili
*Kwani alisema niite nami nitakuitikia nami nitakuonyesha mambo makubwa na magumu usiyoyajua*
Hivyo basi hutakiwa kukata Tamaa zaidi ni kuomba na kushukuru ukijua moyoni mwako yupo mwenyezi mungu aliyemuweka maalumu kwa ajili yako,Na hasa ukijua duniani kuna mapito na hiyo ni mojawapo ya mapito katika maisha yako haijalishi uko 22,32,42 ,nk nk
Amen
 
Mi nimesoma hiyo ya kimbingu tu.

Amen!
 
ha ha ha ha ha!

i hereby reserve my comments kwakuwa zinatofautiana sana na zako.....!
your judgement is still invalid so far

Teamo et al....
Nikisoma maoni ya watu hapo juu....napata hitimisho kwamba maumvivu ya kuachwa yanategemea na variables nyingi sana.......kama umri ukiwa constant....the equation becomes so complex that i cant really point out a single conclusion....kwamba kwa mwanamke pia anaangalia uwezakano wa kupata mwenza mwingine wakati wa kuachwa....(ni wazi kwamba sio rahisi kwa mwanamke wa miaka 40 kupata alternative kama ilivyo kwa miaka 20)....

Ila kiujumla the younger, the blinder........the older a partner is, the more one can see things outside of the love box.....
I will be back!
 
hehehe!
hommie kale kahiinza ka-mdandu kale ambako ndo ulijifunza nako usanii huo assume umekaa nako miaka sita halafu umewekeza kila kitu hapo kakikumwaga at your 22,niaje?

......hommie....katika umri wowote ule....nafirkiri hata over 70s KUACHWA ni sawa na kichapo tu, kuumia mna umia sawa sawa! Anaye acha ni sherehe, wakati mtosaji ni msiba!

Ila ukiangalia kati ya hawa wawili, mwenye umri mdogo vs kikongwe mwenye umri mdogo anaweza kulicover haraka zaidi kuliko mwenye umri mkubwa....! u know why? back up zenye umri mkubwa ni chache sana in case ukaachwa ukiwa mzee...na ukishuka kwa viserengeti...hakuna true love ni pressure tupu....! lakini kwa vijana.....mbuga za wanyama kibao...hufi njaa ng'oo....!
 
Mi niliumia saaaaaaaaana wakati namaliza darasa la 7 tajiri mmoja alinipindua mchumba wangu tokea hapo aaah nimekuwa sugu

Fidel kumbe umeanza zamani haya mambo eehhh darasa la saba hakiyamungu wewe kiboko. Kumbe mie nilivuta vuta muda mpaka chuooooooooo
 
ha ha ha ha ha!

i hereby reserve my comments kwakuwa zinatofautiana sana na zako.....!
your judgement is still invalid so far
hahahahahaaa!!
Me this way (33).........you, that way (20).
roger.
 
Hapa ngoja ningalia kwa mtizamo wa kidunia na kimbigu
Kidunia!22
Kwa mwanaume/ mwanamke maumivu ni yale yale yanayoumiza na kukuacha ukitafakari mengi ingawa baada ya muda wote watasau na huku kila mmoja akiamini umri bado unaruhusu na uwezo wa kumpata mwingine atakayempenda kwa dhati na kuanza maisha mapya pia ndoto zote alizokuwa nazo bado zikaendelea kuwepo pasipo pingamizi la aina yoyote
Kidunia!32
Kwa mwanaume:-
Mwanaume ataumia sana na kuona kama amepoteza muda mwingi na umri unakimbia lakini bado anauweza wa kutafuta mwanamke anayempenda na wa umri wowote kwake na kummiliki pia hata kutimiza ndoto zake zooote alizopanga katika maisha bila vikwazo ,
Kwa mwanamke:-
Ooops Kwa mwanamke ataumia saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana na sana kwa sababu akianza kuhesabu umri umeenda ataanza kukata tamaa kama kweli atakuja kumpata mwenza wa ndoto zake atakayetimiza matarajio yake ,
Mwanamke atanyong'onyea na kuwa mwingi wa mawazo huku akiamini sasa itabidi aanze kucheza pata potea
Na ndio maana wengine hujikuta wamejitumbukiza katika mahusiano yasiyo mazuri na kuanza ku-regret baadae kisa tu anaona umri unaenda na mambo hayaeleweki
Na inatokea wengine wanaamua kuzaa tu huku matumaini yanaendelea kufifia:A S 39:

Upande wa kimungu katika imani zaidi
Miaka 22 /32 (mwanaume na mwanamke)

Kumweka mungu kwanza asimamie maisha yako na kuamini kila jambo linawezekana kwake na kujua kuwa kila jambo huwa linatokea kwa sababu maalum
Itakupa faraja ya kuendelea kuishi kwa amani na huku ukiamini mwenyezi mungu ana makusudi makuu na maisha yako kama amekuumba ni yeye mwenye jukumu la kukutimizia mahitaji yako yote ya kiroho na kimwili
*Kwani alisema niite nami nitakuitikia nami nitakuonyesha mambo makubwa na magumu usiyoyajua*
Hivyo basi hutakiwa kukata Tamaa zaidi ni kuomba na kushukuru ukijua moyoni mwako yupo mwenyezi mungu aliyemuweka maalumu kwa ajili yako,Na hasa ukijua duniani kuna mapito na hiyo ni mojawapo ya mapito katika maisha yako haijalishi uko 22,32,42 ,nk nk
Amen
loud and clear!...

NB:uliivunja ahadi y ako mwenyewe,dogo akawa anaulizia tu SHANGAZI YUPO WAPI?!...
 
Mkuu mimi sijawahi kuachwa wala kuacha, Niliyempata ndio huyo huyo so sijui inaumaje, ila kwa experience ya Mabibo Hostel naweza kuelezea jinsi watu walivyokuwa wanalia na wengine kugeuzwa vichaa rejea yule kaka yetu pale mabibo hostel aliyempenda sana binti yule binti akampiga kibuti bado jamaa akawa anaenda pale block B kuomba msamaha japo hana kosa matokeo yake yule msichana akamwitia kelele za mwizi vijana wakamponda hasa maeneo ya kichwa na jamaa akili zake mpaka leo zimepishana (Kichaa)
 
Back
Top Bottom