We Maty, sory Clearing hapo juu unatuharibia sredi yetu.
aaa wewe unaniangusha ulikua sista margaretha nini? above 30 yrs hakuna maumivu ukiachwa kuna kajihuzuni kadogo then life goes on (ni maoni yangu tu)
We Maty, sory Clearing hapo juu unatuharibia sredi yetu.
Hata mie nimeshituka
Acheni kuchakachua thread ya watu jamani, mtoa mada njoo uwafabricate hawa wananikosesha amani tu mie
Sasa hapa ndo linakuja lile swala la Ukiachwa:
ukiwa 22 kama ni mwanamke maumivu yanakuwa tofauti na kama 32
Ukiwa 22 kama ni mwanume maumivu yanakuwa tofauti na kama upo 32.
There for:
22yrs M = maumivu sanaaaa
22yrs F =maumivu kidogo
32yrs M = maumivu kidogooo
32yrs F = maumivu sanaaaa
Hence:
32yrs M goes to 22yrs F and,
32yrsF goes to 22yrs M.
....:amen:hommie hivi MASIKA hakukufundisha vyema hesabu?.....sorry fadha MUHUME hakukufundisha sawasawa fiziksi?
PRESSURE=FORCE/AREA
sasa kama hutaki presha maanake ongeza area.....!NA KUONGEZA AREA NI KUCHUKUA TOTOOZ ZENYE MAKALIO MAKUBWA(AREA)
No Comment hapa!!!
Msalimie Kimey.
aiiiiiiiiiiiii sa kwani nimemtukana mtu? mbona mna upendeleo humu? wengine ndio aturuhusiwi kuchangia
Hapa nitasema nikipata muda, naona huku dodoma siruhusiwi kuondoka bado.....:welcome: