Kuachwa na mpenzi bila sababu

Kuachwa na mpenzi bila sababu

Wanaume tujaribu kuwa na huruma. Binti katumiwa miaka nenda rudi akitegemea ndoa kumbe jamaaa anayake
 
Toa nafasi kwa wengine maana mapenzi kama daladala akishuka mtu anapanda mwingine
 
Pengine ulikuwa dem wa mizinga sana jamaa akashtuka
 
Chakushukuru Ni Kwamba Amekuweka Waazi Maana Kuna Wengine Wanakuacha Kimya Kimya.
 
Sababu za kuachwa zipo ila labda hawezi kukwambia. Anaweza asikueleze kwasababu utajisikia vibaya na labda haoni kama hilo tatizo unaweza kulirekebisha.
 
Ukiona umeachwa ujue kuna mwingine kakuzidi kete..yani alikuwa anamiliki alteza now ameamua kuchukua Mercedes Benz,, hivyo basi, tambua kuwa watu wengine hufanya wengine kama ngazi ya kufikia katika mambo yao.!!
Kweli kabisa mkuu hata mimi.x demu wangu aliniacha tu pasipo na kosa inauma sana ila maisha yanasonga now nimekuwa makini sana na hawa viumbe
 
Kila kitu huwa kina tokea kwa sababu fulani so yeye kukuacha kuna sababu pia either kapata mwingine au kuna maudhi kweli alikuwa ana pata toka kwako au pia alikupendea vitu fulani fulani ila kwa sasa labda huna tena cha msingi kuelewa hapa ni kila kitu hutokea kwa sababu fulani
 
Wanawake huwa mnajisahau sana pale mnapoona kuwa huyu mtu atakuwa mume wako wa ndoa. Mnafanya visa hasa midomo yenu ndio kiboko akikosea kidogo tu mnamtukana na kitabia cha ukali ukali.

Yes! Kuna wanaume ambao wapo na wanawake kwa sbb ya kukidhi haja zao za mwili, sasa wanawake wengi huwa wanajisahau sana na huwa hawawachunguzi vizuri wapenz wao. Hapo ndio wanapokesea.

"Wanawake wengi huwapenda wanaume wasiowapenda ila wale wanaume wanaowapenda kwa dhati na wana future nao ndio huwatesa, kuwadharau na kuwasaliti na mwisho wa siku wanabaki kulilia tu'
siku zote mwanaume huwa hateseki sana ktk mapenz na sasa mlivyo weng ndio kbsa. Mnabid muwe makini mtatumiwa sana km hamtatumia akili.
 
Ukishaona mwenzako analeta vimbwanga wewe temana nayeye haraka iwezekanavyo or else utakuja kulia na kusaga meno mpendwa
 
Back
Top Bottom