Kuachwa na mpenzi bila sababu

Kuachwa na mpenzi bila sababu

Ukiona umeachwa ujue kuna mwingine kakuzidi kete..yani alikuwa anamiliki alteza now ameamua kuchukua Mercedes Benz,, hivyo basi, tambua kuwa watu wengine hufanya wengine kama ngazi ya kufikia katika mambo yao.!!
kweli mwenzangu alivuta vogue
 
kwani wanaume wameisha!!? unataka mpaka upigwe ndo ujue hamna mapenzi tena, wanaachwa wenye ndoa ndo iwe nyie
 
Kwenye maelezo yako ya mwanzo umeandika kuwa, "...kuna tabia fulani hakuipenda (toka kwako)" na wewe ukajaribu kujitathmin wapi ulipoenenda visivyo lakini hukuona lolote ulilofanya hadi jamaa aje akuache katika style hii. Hiki ndo ambacho mimi nimeona kama kukutafutia tu sababu ili akuache bila kulaumiwa yeye.
Pole sana!
 
yalishapita imepita miaka 5 sasa
 
Mwite ujaribu kumuuliza tatizo ni nini!!swala la ziada vp alibahatika kuchezea nyavu!!!
 
anakua kashapata bwana au demu mwingine. Bora huyo anakwambia una kosa, mwingine anakuchana live tu "nshapata mwanammke mwingine kama vipi nipotezee". Unaweza kunywa sumu kama na wewe ulipenda.
 
Pole sana,maumivu ya mapenzi huumiza mno.Huyo jamaa hakika hakukupenda kwa dhati itakua naye aliumizwa atokako hivyo akaamua kutafuta pumziko la muda kwako.Kwa vile imeshatokea kuendelea kuwaza yaliyopita ni kujiumiza zaidi mwacha aende,Ila kua makini sana kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya.
 
Kila kitu kinamwanzo na mwisho ila mwisho unatakiwa uwe mwema si wakuumizana pole sana dadaake
 
Back
Top Bottom