Kuachwa kusikupe stress

Kuachwa kusikupe stress

da pole

mm nilifiwa na baba last year ila nilisahau mapema bt nimeachwa na kpnz changu tangu mwez wa 12 ila mpaka sasa cjasahau roho inauma kwel ata jana kdogo nimtumie msg nkamuomba mungu mawazo yake yafutike kichwan kwngu nampenda xna
Kwanini uumie jamani kama bado yuko Single sio mbaya ukirejeana nae,kama ameowa/kaolewa hapo sawa heshimu maamuzi yake...
 
Wengi wanaoachwa hawajifunzi ktk kitu ktk uhusiano uliyopita..then anakuja kuumizwa tena.
 
Yaliyomo yamo tunajifunza kutokana na makosa, yakishatokea yametokea kurudi nyuma haiwezekani ni kuendelea mbele tu kwa kuzingatia ulipojikwaa awali na kuangukia wapi ili yasitokee tena

Dah kweli yan....am feel to cry....
 
Acha utani wewe usiendekeze kuachwa,utaachwa mpaka lini???..,Kama kuachwa ni kujifunza shule tulikua na graduation
 
Wewe msiba unategemea wa nani.

Misiba inatokea tunaweka matanga, marehemu anafufuka anakufa tena baadaye anafufuka.

Sasa hivi tumeshakuwa wakubwa msiba itakuwa ni ngumu kutokea. Marehemu anaweza akawa amefufuka moja kwa moja.
 
Hivi hebu tujiulize hii kupenda na kuachwa hadi lini?? na magonjwa haya yalivyo mengii
 
Mleta mada mchonganishi kweli, yaani niachwe nisiwe na stress! Si kweli, haifai ujifunze kutokana na makosa hasa kupitia kwako. Ni vyema ujifunze kutokana na makosa ya wengine sababu tumeumbwa tofauti na wote hatuwezi kubeba maumivu ya mapenzi kwa nguvu moja,wapo ambao akiachwa utasikia kanywa sumu,au ikamfanya awe muoga sana au mkatili sana kwa mpenzi atakaefuata. Ila maumivu ya mapenzi......
 
Kuachwa kusikupe stress, haijalishi umeachwa mara ngapi, jali kile ulichojifunza kutoka kwa mtu aliyekuacha.

Kila anayeingia maishani mwako ana syllabus mkononi mwake, every topic anayokufundisha ichukulie serious huwezi jua mtihani wako utatungwa kwenye
Topic ipi.. Usipojifunza lolote kutoka kwenye relationships ulizopitia utaendelea kufeli daima.
People think that to be strong is to never feel pain. But in reality, the strongest people are the ones who feel it but get through it.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom