Naombeni msaada wa kisheria ndugu yyangu ameachishwa Kazi kwa kosa lisiloeleweka a me hang any I kids afanyeje? Nilikuwa ni ivi wafanyakazi waligoma siku ya tar 21 murch ila yeye aliingia night akatoka asubuhi na akaingia jioni akatoka kesho yake anashangaa anapewa barua ya kikao cha nidhamu akaenda na kuwaelewesha kuwa yeye shift yake haiusiani na uho mgomo akaambiwa amearibu punch wakati punch inafanya Kazi kama kawaida baada ya apo wakaambiwa wasubiri Leo wamepewa barua ya kuachishwa Kazi inayosema kosa la Kushawishi mgomo, kugoma na kuaribu Mali ya Mwajiri afanyaje ili spate haki yake ya kuachishwa Kazi gafla.