Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 8,202
- 14,122
Hahahhh mate lakiniii kha picha tu mtu akaamua yake? Ila hilo zoezi ni gumu lisikie tu kwa jirani kuachwa ni zaidi ya kufilisika.Kuna kaka nilitambulishwa tu kabla ya kuonana nilipokuwa number yake kutoka kwa rafiki yake nikampigia. Kwa kweli story ziliiva nikajiona niko kwenye relationship.
Siku mpenzi wangu yule alipoomba picha nikamtumia, niliachwa siku ile ile. Nilimpenda yule kaka na effect yake nilifeli mtihani vibaya sana milishindwa kabisa kusoma na nilikuwa shule.

kuachwa kusikie tu yasikukute