Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
tushirikishe labda tunaweza kujifunza na sisi maliyamtu!!Yani we niache tu
tushirikishe labda tunaweza kujifunza na sisi maliyamtu!!Yani we niache tu
Katika historia yangu ckuwah date na mtu nsompenda na walianza wao kuzingua nikaamua kuacha maana sikuweza vumilia usaliti na hivi nlikua bado sokoni nikajionea ya kazi gani kufa na tai shingoni.tushirikishe labda tunaweza kujifunza na sisi maliyamtu!!
Aiseee pole sana, yes naelewa.Katika historia yangu ckuwah date na mtu nsompenda na walianza wao kuzingua nikaamua kuacha maana sikuweza vumilia usaliti na hivi nlikua bado sokoni nikajionea ya kazi gani kufa na tai shingoni.
Sasa nipoamua kuacha sikurudi nyuma sio mawasiliano wala nini nadhani unayajua maumivu ya kuruhusu mtu aende wakati bado unampenda sasa ndo ataki hata kuwasikia
Asante Niko mikono salama nwAiseee pole sana, yes naelewa.
safi.Asante Niko mikono salama nw
Unapomchukia MTU ina maana bado yupo moyoni unayaishi bado maumivu yake,.me naona si vema kuwa na uadui nae/nao...ila kwa upande wa mawasiliano hata mm nilishindwa aisee unawasiliana na x for what,.yaani what special mnaongea..mmmh ndio yaleyale ya kuufanya muwa mkongojo siku njaa ikikuuma una ula tuu,..yalopita yamepita.Sinaga hizo habari tutaongea nini sasa na kwa bahati mbaya inaweza sema sina x ambae sikumpenda au ambae bado nampenda so ma x wote ni maadui tu hata namba zao nlishag blok zoote
AiseeKuna kaka nilitambulishwa tu kabla ya kuonana nilipokuwa number yake kutoka kwa rafiki yake nikampigia. Kwa kweli story ziliiva nikajiona niko kwenye relationship.
Siku mpenzi wangu yule alipoomba picha nikamtumia, niliachwa siku ile ile. Nilimpenda yule kaka na effect yake nilifeli mtihani vibaya sana milishindwa kabisa kusoma na nilikuwa shule.
Hahaha nmecheka na kweli kuufanya muwa mkongojo nani anataka,,sio kwamba nawachukia hata tukionana salam hamna no ila tu sina nafasi yao kwangu basUnapomchukia MTU ina maana bado yupo moyoni unayaishi bado maumivu yake,.me naona si vema kuwa na uadui nae/nao...ila kwa upande wa mawasiliano hata mm nilishindwa aisee unawasiliana na x for what,.yaani what special mnaongea..mmmh ndio yaleyale ya kuufanya muwa mkongojo siku njaa ikikuuma una ula tuu,..yalopita yamepita.
Hahaha nimecheka kwakweli kwakweli mapenzi yana nguvu asikwambie mtuKuna kaka nilitambulishwa tu kabla ya kuonana nilipokuwa number yake kutoka kwa rafiki yake nikampigia. Kwa kweli story ziliiva nikajiona niko kwenye relationship.
Siku mpenzi wangu yule alipoomba picha nikamtumia, niliachwa siku ile ile. Nilimpenda yule kaka na effect yake nilifeli mtihani vibaya sana milishindwa kabisa kusoma na nilikuwa shule.
Watu hawakawii kurudia makoloni yaoHahaha nmecheka na kweli kuufanya muwa mkongojo nani anataka,,sio kwamba nawachukia hata tukionana salam hamna no ila tu sina nafasi yao kwangu bas

me sipendi kabisa hizi mambo,..bora niongeze list kama hapana budi sio kurudi nyuma tena... Never!!! Kila mtu apambane na maisha yake kwakweli.Hapo ilikua lazima ufeli hahahWewe acha tu