Kuachana na mpenzi

Kuachana na mpenzi

hahaha ila kuna msemo unasema:

"Kama wapenzi wakaachana alafu wakendelea kuwa marafiki kuna mawili either bado wanependana au hata hapo mwanzo hawakupendana."
Kabisa na la kutopendan ndo lipo sana yani nikupende kwwli alaf tuachane ndo tuwe marafiki shubamiitii,,labda sio maliyamtu mim
 
Nilihisi moshi wa usaliti sehemu nikamwaga maji ya baridi kabisa kama kinga!.. Ila nikawa tayari kuendeleza urafiki lakini nikachukiwa na kukatiwa mawasiliano kwani nilikosea Sky Eclat!?..
 
Ubaya maisha ya sasa siyo swala la mapenzi, ni uhusiano, kutengeneza familia, watoto na boma..
Swala la kupendana naona ni bahati na nadra, mapenzi ni kitu adimu kuliko chochote duniani..
 
Nlichojifunza tu ni kuwa nkiambiwa stak mara 3 bhas tunabak tu kuwa friend wa kawaida. Ila kuachana kwa aman
kuna raha yake aiseee.
Raha yake ni nini?

Maana mimi natafuta namna niitifue hii amani na x huu ushikaji unaweza kuturudisha nyuma badala ya kusonga mbele
 
Raha yake ni nini?

Maana mimi natafuta namna niitifue hii amani na x huu ushikaji unaweza kuturudisha nyuma badala ya kusonga mbele
Ha ha haa raha yake
Hat sku ukibanwa na
Ngenye anakusaidia mnapasha
Kiporo

Mshkaj anakupeleka kidikteta eeeh
 
Hata ikiwa ndo mpango was Mungu kuachana kusikie kwa jirani jamani unaweza vua nguo utembee uchi ili ueleweke jinsi unavyojisikia looh staki kabisa kukumbuka
asikwambie mtu unafurukuta yani mara ya mwisho niliteseka sana lakini ukipona unajiona mjinga, time is the best medicine
 
Kuna kaka nilitambulishwa tu kabla ya kuonana nilipewa number yake kutoka kwa rafiki yake nikampigia. Kwa kweli story ziliiva nikajiona niko kwenye relationship.

Siku mpenzi wangu yule alipoomba picha nikamtumia, niliachwa siku ile ile. Nilimpenda yule kaka na effect yake nilifeli mtihani vibaya sana milishindwa kabisa kusoma na nilikuwa shule.
 
Ha ha haa raha yake
Hat sku ukibanwa na
Ngenye anakusaidia mnapasha
Kiporo

Mshkaj anakupeleka kidikteta eeeh
Haha hapana jamaa ni mtu poa sana, ana mazuri mengi kuliko mabaya mambo tu ya maisha yametutenga lakini sasa hata tukigombana vipi hatujawahi kuacha kuwa marafiki na mimi sinaga urafiki na ex ila huyu ndio nimeshindwa!!huyu hata nikiolewa si itakuwa tatizo kwa mume lately I have been thinking nimblok delete number yake kabisa labda lol
 
Any thing hapo n ww kuchanger number tu
No option zaid ya hyo maana

Ukiblok atapga na number
Nyingine so Bado hujatatua tatizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom