Makubaliano kati yenu, namaanisha mgawane Mali yote na watoto kama wana 14yrs chini ya hapo ni aende nao halafu uwatunze kwa sh @30000 jumla 60 kila mwezi, upo hapo?? Huo ni utaratibu wa ustawi wa jamii tofauti na hapo utumie ubabe wa kijinga tu. Halafu watoto wawili ni wengi kwanini hii ndoa ife badala irasimishwe???Hivi... Kunautaratibu gani utumike kuachana na mke ninaeishi nae ikiwa hatujafunga ndoa huku tukiwa tayari tuna watoto wawili?
Ninawatoto pia kwa mwanamke mwingine ninaetaka kumuoaMakubaliano kati yenu, namaanisha mgawane Mali yote na watoto kama wana 14yrs chini ya hapo ni aende nao halafu uwatunze kwa sh @30000 jumla 60 kila mwezi, upo hapo?? Huo ni utaratibu wa ustawi wa jamii tofauti na hapo utumie ubabe wa kijinga tu. Halafu watoto wawili ni wengi kwanini hii ndoa ife badala irasimishwe???
baba hilo zito we kunywa mwenyewe tu.Ninawatoto pia kwa mwanamke mwingine ninaetaka kumuoa
hatari kubwa sanaNinawatoto pia kwa mwanamke mwingine ninaetaka kumuoa
Presumption of marriage is rebuttable. Sio rahisi kama mnavyodanganyana kwenye lay men's cornerMwanamke unaelala na kuamka nae under one roof kwa miaka miwili nazani kwa mujibu wa sheria na kanuni za jamuhuri ya Tanzania ni mke halali as longer ipo proof. Kama mtamalizana kiutu uzima ni sawa na pia mkienda kisheria migawanyo itakuwa ya mke na mume.