Kuachana na mke unaeishi nae.

h.imani

Senior Member
Oct 2, 2011
189
94
Hivi... Kunautaratibu gani utumike kuachana na mke ninaeishi nae ikiwa hatujafunga ndoa huku tukiwa tayari tuna watoto wawili?
 
Achaneni kawaida tu kama hamjawahi kuishi pamoja, then kuhusu properties ata-claim under PRESUMPTION OF MARRIAGE . Mahakama haiwezi HUSIKA kwa vyovyote kama hakukuwa na celebration of marriage.
 
Makubaliano kati yenu, namaanisha mgawane Mali yote na watoto kama wana 14yrs chini ya hapo ni aende nao halafu uwatunze kwa sh @30000 jumla 60 kila mwezi, upo hapo?? Huo ni utaratibu wa ustawi wa jamii tofauti na hapo utumie ubabe wa kijinga tu. Halafu watoto wawili ni wengi kwanini hii ndoa ife badala irasimishwe???
 
Tumewahi kuishi nae kwa miaka 4,
 
Makubaliano kati yenu, namaanisha mgawane Mali yote na watoto kama wana 14yrs chini ya hapo ni aende nao halafu uwatunze kwa sh @30000 jumla 60 kila mwezi, upo hapo?? Huo ni utaratibu wa ustawi wa jamii tofauti na hapo utumie ubabe wa kijinga tu. Halafu watoto wawili ni wengi kwanini hii ndoa ife badala irasimishwe???
Ninawatoto pia kwa mwanamke mwingine ninaetaka kumuoa
 
Ila, nashukuru kwa kunifahamisha. Sasa najua pa kuanzia.
 
Mwanamke unaelala na kuamka nae under one roof kwa miaka miwili nazani kwa mujibu wa sheria na kanuni za jamuhuri ya Tanzania ni mke halali as longer ipo proof. Kama mtamalizana kiutu uzima ni sawa na pia mkienda kisheria migawanyo itakuwa ya mke na mume.
 
Presumption of marriage is rebuttable. Sio rahisi kama mnavyodanganyana kwenye lay men's corner
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom