Kuachana au kutengana??

Ninachotaka kueleweshwa
ni kama ipo kwenye bible
Maana haya makanisa siku hizi yana zidi
kuongeza sheria fulani fulani hivi..

Ninachoomba nikuelezwa kama iko kwenye bible
Na ni sehemu gani ?

Ps...samahani lizzy
Kwa kuchakachua thread..
Kama kuna mtaalam wa 'canon law' katika hii thread naomba atusaidie. Ila ninachofahamu mimi ni kuwa roman catholic wana amri za aina mbili, amri kumi za Mungu na amri za Kanisa.Hizi amri za Kanisa viongozi wa Kanisa wana mamlaka nazo maana wao ndo walizitunga.Sasa ni kifungu gani cha Biblia kiliwapa mamlaka hii ndo maana nasema tupate mtaalam wa sheria za kanisa atusaidie.
 
Huyo bado ni mke/mume lizzy.
Kuna mama mmoja nae alitengana na mmewe ile kusikia mmewe kapata mwanamke mwingine akajirudisha kwa mmewe haraka haraka. Sijui alikuwa anabip.
 
haswa ni mke/mume given that muda sio mrefu tokea watengane na sio kisheria.
Kidini ndoa haitengani.

Hizi ndio imani potofu. Dini hizi zililetwa na watu kwa nini ndoa kidini isiweze kutengana? Kwani huyo uliyenaye ni ndugu yako? Kupendana na kuachana ni uhalisi wa maisha acheni kujidanganya eti dini. Utaendelea kuishi na mtu eti kwa vile dini hairuhusu give me a break! Who knows hizi kama zinasema ukweli au watu walitunga tu kwa manufaa yao? Lililo na mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mlifunga ndoa kuna siku mtatengana kwa namna moja au nyingine. Ndoa ni tendo la kuifahamisha jamii kuwa ninyi mnaishi pamoja na si vinginevyo.
 
Huyo bado ni mke/mume lizzy.
Kuna mama mmoja nae alitengana na mmewe ile kusikia mmewe kapata mwanamke mwingine akajirudisha kwa mmewe haraka haraka. Sijui alikuwa anabip.
Hapo kwenye kurudi mbio mbio sasa!
 
Sante dear
Haya ngoja ni lale
Ntaifuatilia baadaye
Mchana mwema

So here it is dear....
Mathayo 19 kwanzia mwanzo Yesu anaongelea jinsi ambavyo kilichounganishwa na Mungu mwanadamu asikitenganishe....ila mstari wa 9 unasema :Nami nawaambia ninyi,Kila mtu atakae mwacha mkewe isipokua ni kwasababu ya uasherati akaoa mwingine, azini, naye amuoae yule aliyeacha azini.
Kumbukumbu la torati 24:1-2 inasema....Mtu akiisha twaa mke kwa kumuoa, asipopata kibali machoni mwake kwa kua ameona neno ovu kwake na amwandikie hati ya kumwacha, akamtilie mkononi mwake na kumtoa katika nyumba yake.Naye akiisha kuondoka katika nyumba yake ana ruhusa kwenda akawa mke wa mtu mwingine.

Zipo sehemu nyingine zinazoongelea hivi vitabu viwili vinaelezea vizuri zaidi!!Alafu kote wanasema kwamba imeruhusiwa kwasababu ya ugumu wa moyo wa mwanadamu!!
 
Habari zenu wapendwa!
Leo naomba niwaulize swali.Umekutana na mwanamke/mwanaume ambae aliwahi kua kwenye ndoa na anakwambia bila maelezo ya ziada!Baada ya kua karibu sana unaona uulize kidogo chanzo cha kuachana..muda waliokua pamoja na muda gani tangu wameachana!Unapata majibu yako ila la tatu anakujibu kwamba imepita muda fulani tangu tumetengana..labda tuseme zaidi kidogo ya mwaka!Ndoa haijavunjwa kisheria ni wao tu hawaishi pamoja!

Je mtu kama huyo achukuliwe kama bado ni mke/mume wa mtu?

wewe ulitaka uambiwe vipi? kwani unataka nini? km umempenda mtu si anaweza kubadili mawazo yake. Tatizo nyie wanawake mnakuwa na maswali ya kipolisi na mnataka kujua majibu muda huo huo unapouliza. Km mtu katengana na mweza wake kuna ,mawili: kuachana au kurudiana km dunia zitaenda pamoja tena, sasa ww km ukiwa na ubavu wa kumweka sawa huyo bwana ujue atatulia tu, ukianza maswali ya kipolisi atakukimbia na wewe.mfano eti oh kwanini mlitengana? mnawasiliana na ex-wako? na unazidi kuuliza maswali hayo hayo kila siku sasa unategemea nini?

na Km mtu wameachana na mwenza wake inategemea ni ktk njia zipi: mfano ndoa ya kiislam au kiserikali sawa wakiachana basi, wewe una chance, ila najua ndoa za kikristu na hasa RC hakuna kuachana, sasa km umekutana na mkristu anakuambia wameachana ujue uongo tu, haiwezekani. Na km mkristu anakuambia wametengana hiyo inaweza kuwa kweli sababu hiyo inaruhusiwa kwa muda wakati wakitafakari mambo yao, lakini pamoja na hayo hata wakitengana kwa muda hawaruhusiwi kwenda kuoa au kuolewa.

hivyo inabidi kujua hali ya mwenza wako na siyo kulalamika kuwa eti anasema hivi au vile.

Ushauri wangu bora upate mtu mpya kabisaaa hawa wa Kutengana au kuachana ni wachache sana unaweza kumake life nao, kwa sababu tayari wana majeraha na kila wakikumbuka majeraha yao wanakugeuzia kibao wewe na kuona ndio wale wale, si mwanaume si mwanamke hapa naongea ukweli kwa pande zote mbili.

Bora upate mtu mpya mwenye mawazo timamu na aliyetulia bila kuangalia ni kijana, mzee au vipi na mkaanza life upya.
 
So here it is dear....
Mathayo 19 kwanzia mwanzo Yesu anaongelea jinsi ambavyo kilichounganishwa na Mungu mwanadamu asikitenganishe....ila mstari wa 9 unasema :Nami nawaambia ninyi,Kila mtu atakae mwacha mkewe isipokua ni kwasababu ya uasherati akaoa mwingine, azini, naye amuoae yule aliyeacha azini.
Kumbukumbu la torati 24:1-2 inasema....Mtu akiisha twaa mke kwa kumuoa, asipopata kibali machoni mwake kwa kua ameona neno ovu kwake na amwandikie hati ya kumwacha, akamtilie mkononi mwake na kumtoa katika nyumba yake.Naye akiisha kuondoka katika nyumba yake ana ruhusa kwenda akawa mke wa mtu mwingine.

Zipo sehemu nyingine zinazoongelea hivi vitabu viwili vinaelezea vizuri zaidi!!Alafu kote wanasema kwamba imeruhusiwa kwasababu ya ugumu wa moyo wa mwanadamu!!
khaaaa! leo umeazima biblia ya jirani nini? enhee endelea
 
We mpasua jipu mbona unapasua kwa hasira hivyo?Maswali ya kipolisi ni muhimu ili mtu ajue anajiingiza wapi!Kuhusu mada sio lazima iwe inanihusu...alafu aliyekwambia wakristo hawaachani ni nani?Fuatilia vizuri utagundua kwamba inawezekana!
 
wewe ulitaka uambiwe vipi? kwani unataka nini? km umempenda mtu si anaweza kubadili mawazo yake. Tatizo nyie wanawake mnakuwa na maswali ya kipolisi na mnataka kujua majibu muda huo huo unapouliza. Km mtu katengana na mweza wake kuna ,mawili: kuachana au kurudiana km dunia zitaenda pamoja tena, sasa ww km ukiwa na ubavu wa kumweka sawa huyo bwana ujue atatulia tu, ukianza maswali ya kipolisi atakukimbia na wewe.mfano eti oh kwanini mlitengana? mnawasiliana na ex-wako? na unazidi kuuliza maswali hayo hayo kila siku sasa unategemea nini?

na Km mtu wameachana na mwenza wake inategemea ni ktk njia zipi: mfano ndoa ya kiislam au kiserikali sawa wakiachana basi, wewe una chance, ila najua ndoa za kikristu na hasa RC hakuna kuachana, sasa km umekutana na mkristu anakuambia wameachana ujue uongo tu, haiwezekani. Na km mkristu anakuambia wametengana hiyo inaweza kuwa kweli sababu hiyo inaruhusiwa kwa muda wakati wakitafakari mambo yao, lakini pamoja na hayo hata wakitengana kwa muda hawaruhusiwi kwenda kuoa au kuolewa.

hivyo inabidi kujua hali ya mwenza wako na siyo kulalamika kuwa eti anasema hivi au vile.

Ushauri wangu bora upate mtu mpya kabisaaa hawa wa Kutengana au kuachana ni wachache sana unaweza kumake life nao, kwa sababu tayari wana majeraha na kila wakikumbuka majeraha yao wanakugeuzia kibao wewe na kuona ndio wale wale, si mwanaume si mwanamke hapa naongea ukweli kwa pande zote mbili.

Bora upate mtu mpya mwenye mawazo timamu na aliyetulia bila kuangalia ni kijana, mzee au vipi na mkaanza life upya.
waambie ukweli mkuu, wamezidi bana. yaani wana masuali utazani wanauliza google?
 
Sante sana lizzy
Very useful poster
Sante sana kwa maelezo ya kwenye bible
Kuhusu divorce..
have a great weekend..
 
Hehehe yani!Ngoja ntanunua yangu ukinipa pesa ya matumizi!
wiki hii nimelosti, waswahili wamepiga majungu nimepunguziwa kamshahara.
bek to ze topik: hebu tupe siri ni kwanini huyo jamaa ulimtupia masuali vere sensitiv kama hayo? je kuna hidden agenda? naomba ukuwe mkweli, mimi ni lawyer mzoefu, ukidanganya nitakuelewa
 
Kumbe umeishiwa ndo maana unajipendekaza na mimi??Hehehe nataka kuolewa kabla ujana haujaisha kwahiyo inabidi niwaangalie candidates kwa ukaribu nisije tumbukia shimoni bure!
 
Back
Top Bottom