Kuachana au kutengana??

ahaaa sasa nimekuelewa, kumbe tatizo sio kuja kuvunjika mahusiano tatizo ni kuja kumfence na mahoja yake mwenyewe alioyatoa. Je kama jamaa ni hatibreka na he dont giv a damn anataka akuingize line tu? hauoni hata ukija ukiwa na masababu ya kutosha wakati wa kuvunjika mahusiano still itakuwa imekula kwako?
Raha ni kwamba siogopi kuachwa!Kujua kwamba the man is good for nothing itanisaidia kujiona mimi ndo mshindi kwa kutokua nae!Ntamsalimia!sori nimemfuta..space
 
Mpasuajipu, umenena vyema sana hapo juu! Wanawake huwa wanaboa sana kurudia rudia kuulizia the very same thing, inachoshaga sana!
utakuta umelala nae yeye halaf anakuuliza ex wako akilala alikuwa hakoromi? , ole wako ujibu alikuwa hakoromi, msala unaanza .dah!
 
Mpasuajipu, umenena vyema sana hapo juu! Wanawake huwa wanaboa sana kurudia rudia kuulizia the very same thing, inachoshaga sana!

Kurudia rudia sio sahihi ila hata kuulizwa mara moja wengine hamtaki sijui mnaficha nini!
 
Dahh mie nta weza kweli kusubiri
Ntakulipa mara mbili zaidi ukija mapema
Maana si wajua tena ile safari ya kwenda mwezini
ni wiki hii lol
ntakuwezesha utaweza, si unaona lizzy hata hajaolewa anaulizia divorce. khaaa!
 
utakuta umelala nae yeye halaf anakuuliza ex wako akilala alikuwa hakoromi? , ole wako ujibu alikuwa hakoromi, msala unaanza .dah!
Hahahaha!Na ukisema alikua anakoroma unaulizwa sasa kwanini hukumwacha?Ulikua unalalaje na mtu anaekoroma?
 
Embu nunua solar kwanza uachanetna mgao!Mwenyewe kuna kitu nataka kweli kukuuliza...wakikurudishia nishtue tuchonge mwaya!

Daahh hawa watu wa solar
Nao wananiizungusha kweli
usijali mpenzi
Walisema j3watanirudishia umeme
So exsaited..
 
ntakuwezesha utaweza, si unaona lizzy hata hajaolewa anaulizia divorce. khaaa!

Muhimu kujua hivi vitu mpendwa
Borea hata ameuliza kwa niaba zetu wote

Daahhh lakini umenichekesha eti hata hajaolewa
Ndo maana kila niki nuna natafuta poster zako

Iwe isiwe lazima ni cheke mwenye..
sounds crazy haa lol
 
ntakuwezesha utaweza, si unaona lizzy hata hajaolewa anaulizia divorce. khaaa!

Unoko tu!Kwani mtu asipokua na mtoto ndo asipende kujua malezi?Najiandaa ili siku tukichokana nisisahau kutia sahihi kwenye talaka ili asije akaenda mahakamani kudai kaibiwa mke asiemtaka!
 
Unoko tu!Kwani mtu asipokua na mtoto ndo asipende kujua malezi?Najiandaa ili siku tukichokana nisisahau kutia sahihi kwenye talaka ili asije akaenda mahakamani kudai kaibiwa mke asiemtaka!
unajua kila siku zikienda nazidi kufall in love na majibu yako. nikifa naomba unimiss.
 
Muhimu kujua hivi vitu mpendwa
Borea hata ameuliza kwa niaba zetu wote

Daahhh lakini umenichekesha eti hata hajaolewa
Ndo maana kila niki nuna natafuta poster zako

Iwe isiwe lazima ni cheke mwenye..
sounds crazy haa lol
hehehe cheka bana! ukinuna sana yale mamikunjo ya uso yanakuja vodafasta halaf mamek up yenyewe yamepanda bei. usije ukala divorce kwa sababu ya mamikunjo ya uso.
 
Nikumiss tu?Sio nikufate!?
sasa hapa tunadanganyana! kuna mdada alimwambia mkaka flani kama hivi. kuna siku walivamiwa na majambazi mdada alichomokea dirisha la chooni akamuacha mkaka wa watu akauwawa kikatili sana. hii habari ilirushwa KBC TV Kenya
 
Hehehehe!Duh!Noma!Ila mi sijasema ntafanya hivyo nimeuliza kama unataka!
 
Back
Top Bottom