Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,388
- 1,098
Kama umeshindwa kuyamaliza au kuelewana nae jaribu kwanza mtengane japo miezi miwili hii husaidia kupunguza au kuondoa hasira na kupata muda wa kukumbukana.Unajuwa mkishazoeana na mwenza wako then muachane utayempata hujui nae atakuwaje halafu kingine kigumu ni kuanza kuzoeana upya na huyo mwingine ni kazi.