Kuacha, Kuachana, Kuachwa, Kuachishwa

Natamani hii dunia ingeumbwa bila mapenzi, uzazi ungefanywa automatic na Mungu bila kudo......ingekuwa powa sana
 
Utaacha kabla hujaachwa hata kama hakuna sababu muhimu ya kufanya hivyo!? Mapenzi kizungumkuti!!!!

Yaani BAK you've taken me away with that song. Kuna kibuti fulani nilipigwa, huu wimbo ukawa unaimbwa hiyo siku ya majonzi..nilikuwa nau-replay nikilia wee.. pia uwe wimbo wa Mariah ''Love Takes Time''..kujipa mahope!!..huh, am healed now!!

Kuachwa ni noma aisee.. pia kumuacha mtu inataka moyo na usiwe na mbwembwe unaweza kuruka majivu na kukanyaga moto!!

Kuachanishwa naona haitoke sana kwenye jamii yetu.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole sana BJ.. BelindaJacob sijui kama kibuti hiki ni kile cha miaka ya karibuni au ni kabla. Kibuti cha miaka ya karibuni kilinitia wasiwasi kwa jinsi ulivyoumia na kuchanganyikwa. Na katika mazingira ya kibuti kilivyotokea ulikuwa na kila sababu ya kuumia kiasi kile na kuchanganyikiwa. Ila sasa unaonekana umerudia katika hali yako ya kawaida. Mungu ashukuriwe.

Yaani BAK you've taken me away with that song. Kuna kibuti fulani nilipigwa, huu wimbo ukawa unaimbwa hiyo siku ya majonzi..nilikuwa nau-replay nikilia wee.. pia uwe wimbo wa Mariah ''Love Takes Time''..kujipa mahope!!..huh, am healed now!!

Kuachwa ni noma aisee.. pia kumuacha mtu inataka moyo na usiwe na mbwembwe unaweza kuruka majivu na kukanyaga moto!!

Kuachanishwa naona haitoke sana kwenye jamii yetu.
 
Last edited by a moderator:
Tahadhari: Kukataa kuachwa huongeza maumivu ya moyo na machungu moyoni yakizidi huua!

lahaula lakwata, neno kuntu hili. Dawa yake unachukua ndogo ndogo haraka kwa speed ya light. Muachaji unamuachia mtihani, hapa nilipendwa ama technically niliachwa kabla sijatangaza kuachwa?
Kuna mahusiano kama vile yalikuwa kwenye life support. Yaani yalishakufa, lest for the life support. Anaezima life support sio alieua.
 
BAK, ila whitney huwa namuita queen of vibuti. Kuna kaka huwa anasema huyu mama anajua kusononekea mapenzi. I usually wonder kama aliweza ku-get over bobby. Naupenda sana wimbo wa 'do it on my own'. Kuna kibuti cha karne nilitaka kubutua, nika-come across huu wimbo. Bahati sana muhusika alijistukia kabla na kuanza kuweka efforts za kutobutuliwa.
Mara nyingi wanaume hawastukii. Lakini mi binafsi, kibuti huanzia moyoni mwa mwanamke, ndiyo imani yangu. Hiyo kukataa kubutuliwa ni woga tu wa pa kuanzia. Ndoa nyingi especially, zilishavunjika kitambo. Basi tu woga wa kuface majirani na ndugu kwa sababu ya stigma.
 
Last edited by a moderator:
Best mimi naamini bado wote walikuwa wanapendana ila tatizo lao ambalo liliharibu careers zao wote na hatimaye ndoa yao ni matumizi makubwa ya madawa ya kulevya. Whitney alikuwa kiboko sidhani kama kuna mwimbaji mwingine ambaye alikuwa na sauti nzuri kama Whitney (RIP). Juzi kulikuwa na show ya kumuenzi Whitnet, yule Celine Dion akaimba huu wimbo hapa chini wa Whitney najua alifanya mazoezi ya hali ya juu ili kuuimba kama Whitney lakini pamoja na hayo haukutendea haki wimbo huu. Watu wengine wanakuwa na vipaji vya hali ya juu lakini wanaviharibu kwa madawa ya kulevya, Bob naye alikuwa ni moto wa kuotea mbali.

aaaah, tell me 'bout bob best! He is my favourite. Anachonishangaza nae ni kuonekana hardcore ila alikuwa muumini mzuri sana wa mapenzi.

Sikuona hiyo show ya kumuenzi whitney, nisingeikosa. I rarely have feelings binafsi na wanamuziki, lakini whitney na bob kwa kweli wananigusa sana. Life is very unfair aisee.

Wimbo mzuri sana, asante. Nina miziki ya whitney, chaka demus, shaggy na bob, nadhani naisikiliza hiyo tu kiasi kwamba ukiniuliza miziki mipya hata siistukii. Nimekubali kuzeeka, lol.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhh! haya bana!!! mie sitii neno :cool2:

aaaah, tell me 'bout bob best! He is my favourite. Anachonishangaza nae ni kuonekana hardcore ila alikuwa muumini mzuri sana wa mapenzi.

Sikuona hiyo show ya kumuenzi whitney, nisingeikosa. I rarely have feelings binafsi na wanamuziki, lakini whitney na bob kwa kweli wananigusa sana. Life is very unfair aisee.

Wimbo mzuri sana, asante. Nina miziki ya whitney, chaka demus, shaggy na bob, nadhani naisikiliza hiyo tu kiasi kwamba ukiniuliza miziki mipya hata siistukii. Nimekubali kuzeeka, lol.
 
Na watu smart wanaacha hawaachwi.

Yani unakuta mtu anafanyiwa vituko vya kila aina lakini yumo tu anasubiri hadi atupiwe nguo nje.

Raha sana kuacha hasa kuacha mtu alokuwa anajidai mjanja....unampa makavu live...its over...utasikia eeh unasemaje? Its overrrr. Huku unaangalia reaction usoni. Msisubiri kuachwa mtaja kunywa sumu bure...someni alama za nyakati

Yani atakama mtu alikuwa ana mpango wa kukuacha ukimwahi jua umemmaliza...ataumia forever...yani unakuwa umeshusha pride yake vibaya mmno.

Kuachwa kuliniuma kwa mara ya mwisho nikiwa High School. Sasa hivi nimekuwa sugu sisikii tena maumivu.
Isipokuwa kumuacha mwanamke naona huruma sana, kwa hiyo mwanamke akiniacha yeye huwa nashukuru.
 
[/COLOR]
Kuachwa kuliniuma kwa mara ya mwisho nikiwa High School. Sasa hivi nimekuwa sugu sisikii tena maumivu.
Isipokuwa kumuacha mwanamke naona huruma sana, kwa hiyo mwanamke akiniacha yeye huwa nashukuru.

Ukweli ni kwamba HUJUI KUPENDA TENA,unaingia kwenye mahusiano kwa lengo la kuwa na mwenza tu ili maisha yaende,ndio maana hata akikuacha unaona sawa,haikuumi.

Umeathirika kisaikolojia tangu ulipoachwa enzi hizo za high school.Hali ya kuwa na hisia za kupenda ni kama BAHATI ,kuna raha kubwa sana katika hilo na pia huongeza afya ya akili,bahati mbaya sana vijana wengi kwa sasa hawana hisia hizo,na hawaoni kwamba ni tatizo,wanaingia kwenye mahusiano kukidhi haja zao za kimwili tu.
 
kuna wengine tuliachwa mataa haswaa, mmetoka dinner hugs/kisses kibao, mna raha zote, anafika kwake anakucal kwamba amefika salama mnaagana kwa maneno mazito mazito, sikujua kama ndio nilikuwa naagwa moja kwa moja, kuachwa inauma sana sana, niliumia sana, nikitamani kujua nini lilikuwa tatizo mpaka akafikia hatua hiyo ya kuni dump tena kihivyo nilikosa jibu, mwenye jibu kakata mawasiliano na kila aina na mie, baada ya mwaka ananitafuta na kujiliza liza kwamba alikosea sana/hajui kitu gani kilimpata, sijui nini na nini, mxsiii.

Nyamayao kuna mdada hadi siku ya harusi asubuhi anachat na mpenz wake kumbe ndo anaenda kufunga ndoa na mwingine . Imagine bidada anajisikiaje baada ya mchana anampgia anamwambia nipo nakula,kumbe ndo keshaoa. Haya maisha tu kuachwa kusikie kwa mtu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom