Francis Fortnatus Nyahume
Member
- May 8, 2025
- 5
- 12
Hello JF family
Mimi nilihitimu Diploma ya uhandisi ujenzi(Diploma in Civil Engineering), then nikajiunga kusoma Bachelor degree in Civil Engineering bado nimebakiza mwaka mmoja kuhitimisha, Mwaka huu nikaanza kuomba kazi kama Civil Technician Ajira portal mara mbili,
Hii hii May 2025 wamenipangia kazi ambayo sikuomba(Mwalimu wa Amali somo la Painting and Sign writing) shule ya technical wakidai ni database nimejifikiria sana kutokuenda kureport kazini maana sina fani ya ualimu na ndoto zngu nibtofauti,
Kuna madhara yeyote ya mimi kuacha na kuendelea kuomba tofauti kwenye mfumo wao?
Je kuna uwezekano wa kubadilisha muundo wa kazi baada ya kua ushareport na kuingia kwenye mfumo wa ualimu?
Nimeuliza maana nimekua nkisikia maneno kwa watu wachache naowaulizq kua ntafungiwa kuomba kwa mda endapo sitaenda kazini
Na kuhama kutoka ualimu kwenda kwengine ni ngumu Sana
Ahsanteni sana.