Kuacha kazi

Kuacha kazi

Habari Wana JF natumaini muwazima
Naomba kuuliza niliajiriwa nimwenzi wa pili Sasa ila naona mambo yanaingiliana je? Kunauwezekano wakiacha kazi na baadae nikishakaa sawa nikarudi utumishi nikapambana tena kupata
utumishi nikapambana tena kupata
Sikiliza moyo wako mwaya, huenda unayamudu maisha bila kazi yanini ujiue sababu ya kazi😌
 
Sasa mwezi wa pili Bado mgeni hawakijui nani akupe njia ya madili kazini wanaishije nje ya mshahara tulia hata mwaka upate mwanga wanaishije wenzio
 
Acha ili baadae tukuulize kama inawezekana
 
Habari Wana JF natumaini muwazima
Naomba kuuliza niliajiriwa nimwenzi wa pili Sasa ila naona mambo yanaingiliana je? Kunauwezekano wakiacha kazi na baadae nikishakaa sawa nikarudi utumishi nikapambana tena kupata
inategemea jinsi ulivyokaa na hao waajiri wako
 
Habari Wana JF natumaini muwazima
Naomba kuuliza niliajiriwa nimwenzi wa pili Sasa ila naona mambo yanaingiliana je? Kunauwezekano wakiacha kazi na baadae nikishakaa sawa nikarudi utumishi nikapambana tena kupata
Haujathibitishwa kazini unaacha KAZI ,Tanzania inatoa graduates wa hovyo kabisa ,hapo ulipo upo kwenye probation bado haujathibitishwa kiufupi wewe sio mwajiriwa acha tu kama unataka, hakuna mtu atakupa likizo wewe sio mwajiriwa labda uwe mjamzito na ukajifungua ,na ukiacha mzimu wa cheque namba utakutafuna kila ajira ya serikali
 
Habari Wana JF natumaini muwazima
Naomba kuuliza niliajiriwa nimwenzi wa pili Sasa ila naona mambo yanaingiliana je? Kunauwezekano wakiacha kazi na baadae nikishakaa sawa nikarudi utumishi nikapambana tena kupata
Njia zote zikifeli Fanya hivi:
Wewe ondoka tu usiage Wala kuandika barua yeyote. Fanya mambo yako ukimaliza hata mwaka. Rudi kazini ukiwa na sound reason.
Mfano nilitekwa na majambazi au waasi wa M23,
au nilipata ugonjwa wa akili/ uchizi Sasa nimepona. Tafuta sababu ngumu na yenye uzito na UWE na documents
 
Kwa nini asiseme tu alichukuliwa msukule. Maana hii sababu haina justification wala upelelezi na mahakamani anashinda kesi mapema asubuhi.
 
Lolote lawezekana. Watamsumbua kidogo ila watamrudisha. Lakini akiacha kazi kwa barua ndio basi tena
 
Habari Wana JF natumaini muwazima
Naomba kuuliza niliajiriwa nimwenzi wa pili Sasa ila naona mambo yanaingiliana je? Kunauwezekano wakiacha kazi na baadae nikishakaa sawa nikarudi utumishi nikapambana tena kupata
Acha kazi uone ilivyo kazi kupata kazi
 
Back
Top Bottom