Ku - date na mabinti wa 18-28 ni mateso tupu hamna furaha kabisa

wakati nna umri mdogo huo usumbufu wao niliuona kawaida coz mazingira yangu na yao yalikua yanafanana, wote tulikua bado tuko home, wote tulikua bado tunategemea wazazi.

sasa umri umeenda na mazingira yamebadilika, nadet na girls wanaoendana na mazingira yangu na hizo stress za kujitafutia kama zako sina.



Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
wakati nna umri mdogo huo usumbufu wao niliuona kawaida coz mazingira yangu na yao yalikua yanafanana, wote tulikua bado tuko home, wote tulikua bado tunategemea wazazi.

sasa umri umeenda na mazingira yamebadilika, nadet na girls wanaoendana na mazingira yangu na hizo stress za kujitafutia kama zako sina.



Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
swa mkuu umechukua maamzi sahihi ndio maana huwa najiuliza hawa jamaa wanaodate hawa watoto wanafaidi nini
 
Habari wakuu,

Kwa uzoefu nilioupata kutokana na kupitia mahusiano mbalimbali hatmae leo nimeona nilete hitimisho kuwa kudate na mabinti hakuna furaha kabisa, yaani hawa watoto maisha yao katika mahusiano yamejaa vioja na mateso chungu nzima, yaani ni mahusiano ya wasiwasi tupu, Kwanza haupati unachokitaka kwa mda unaotaka, mnaishi maisha ya kupangiana mida ya kuonana, mnapangiana hadi pakumwagia,,,, Hapo sasa sijazungumzia lile balaa la bebi sijaona siku zangu, SEEH Hata sitaki kuendelea kufafanua haya mateso, ila shida kuna watu wanaweza kuhisi mahusiano ndivyo yalivyo kwa kuwa hawajawahi kujaribu upande wa pili wa 30-49 etc

Yani wanawake wa age kuanzia 30-49 etc wako vizuri sana, hawana mambo mengi sana na hawana tamaa za ajabu ajabu pia wako very romantic, hata ukipaliwa kidogo mikiwa wote utasikia pole baby hebu kanywe maji kwanza, In short wanacare sana,
Na hawana ahadi za uongo akisema mtaonana mda flani ontime anakucheki na hawana mambo mengi kama haiwezekani hawaforce mambo yaani wako very systematically ni haipo haipo kweli ipo ipo hamna longolongo'

Hawana tamaa za ajabu ajabu kama akihitaji kitu hauna wanajua maisha hawalazimishi, ni wapole pia ni wavumilivu wanajua changamoto kuwa kuna kukosa na kuna kupata, hawawezi kukuomba kitu ambacho wanajua hauna uwezo nacho au anachojua wewe kukipata kitagalimu au kuvuruga bajeti yako ya kujiendesha

Hamna wasiwasi kuhofia mimba au kuonekana, labda kama kuna mpango wa kando napo pia wanakuwaga makini sana hawataki kabisa kukuharibia au wao kujiharibia wanaheshimu sana mahusiano yako incase kama makubaliano yenu wote ni ya mpango wa kando ni watu makini sana katika mambo yao na haoneshi dalili za mabadiliko katika watu wao, wanakuwa wako lovely sana ni ngumu hata wao kushtukiwa.

Hawaitaji extra energy kama mundende na vumbi la kongo ikitokea siku ukaperfom chini ya kiwango unapata nafasi nyingine ya kujirekebisha na hawaoneshi dalili yoyote ya unyanyapaa wala kukudharau wanajua hizo changamoto ni kawaida sana na hawana tamaa ya shoo bigbig

Kimaumbile kidogo hapa wanazidi kunichanganya utakuta mtu kapitisha vichwa vya watoto 5 au 4 ila bado iko taiti na joto kama lote ila hawa bwana wadogo ukikutana nao utakupa ni Breakmbupu yaani kuna mda inabidi upitishe mkono kuhakiki kama imo au ni pembeni hata sijui kama wanakanyagwa na miguu ya tembo huko ikulu maana ni hatari na nusu,

Pia wako siriaz sana katika mapenzi hawahitaji kudekezwa na utoto mwingine wa kijinga ni watu wa kazi mambo ya utoto na michezo ya kurushiana mito kwenye sita kwa sita kacheze na watoto wao wakishafika kunako wanajua kipi kifanyike sio watu wa kupoteza mda kwa utoto na mambo yasiyo na msingi mambo ya tom and jerry nyumbani kwa watoto, wao ni kazikazi tu.
Kwa kweli ninamengi ya kuwasifia ila ngoja niishie hapa kwa leo ila kwangu mimi hii age #MITANO TENA.

Una umri gani?

Pamoja na sifa zote ulizowamwagia hapo tafuta maisha, tafuta pesa, tafuta mali.... binadamu hubadilika lakini wanawake hubadilika kwelikweli.

Usione raha vile ukiwa huna hela wanakuvumilia ukasahau siku watakayokuona mzigo watakavyokuacha kwaaibu....

Wanawake ndio wanawake Mungu tuu ndio anawaelewa
 
Ila cha ajabu ukizipata utaanza kuona wabibi miyeyusho utarudi kwa vibinti, kwa sasa kitonga inakutoa ufahamu.
sawa mkuu ila sina njaa lakini what am talking about is care ya kujali mahusiano na hakuna siku mwanaume atafikia utajiri wa kumlidhisha mwanamke mwenye tamaa ndugu hata ukimnunulia ferari atadai lollyloyce, ukinunua lolly atadai prevertjet shtuka kaka acha kuamini pesa ndio kila kitu katika mapenzi
 
Back
Top Bottom