Ku-date Mzungu raha sana

Ku-date Mzungu raha sana

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Niko kwa relationship na kaka m1 Mzungu mpk raha. Anacare sana halafu anajitambua sana, anajua anataka nini kwa haya maisha. Kama kuna kitu anasema direct hafichi hayuko mnafki.

Ananisaidia masomo yngu sana sana anatomy. Hata kama kesho akiwa anatakiwa kuwahi kazini lakin nikihitaji anifundishe anaweza kukaa hta mpk saa nane usiku kwa ajili yng. Km nikiwa na exams ananifundisha, tunakuwa tunasoma wote pamoja. Mimi sio msomaji lakin kwa sasa shule yng inaenda sawa.

Halafu anajua sana romance, anajua ku care, anajua kukiss. Kisses ndio ma sickness 😘

Tuna miezi mi4 tu lakin nahisi km nko nae miaka, nimejifunza mambo mengi sana kwake hasa maisha. Nimegundua kudate na mwanaume above 30 ni raha sana kwa sababu anajitambua na ni muelewa sana. Ila tatizo lake moja anataka kujua kila kitu, naongea na nani? Nachat na nani? Nko wapi nafanya nini. Kwa ufupi anataka kujua kla step ninayopiga. Tabia yke hii ya kufuatilia tu ndio siipendi ila sehem nyingine kote yko ok. Nadhani ninemeet na love of ma life 😊
 
Karibuni wote
tapatalk_1564308252811.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom