Ku-copy na ku-paste style za member wa JF

Ku-copy na ku-paste style za member wa JF

Tatizo sio gubu!! Chukulia mfano unachokifanya atokezee mtu afanye kama wewe, hiyo sio shida ila shida ni pale atakapowasilisha alichokifanya kwa mtindo kama wako bila kuelewa maana ya mtindo uliotumia.
Sio bure
Utakuwa na matatizo tena makubwa

Yaani POVU lote hilo kisa "emoji"

Samahani lkn....

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Koma wewe, hata post 500 hujafikisha unaanza kuota meno ya juu!! Pumbaaff
Kwa hiyo ukifikisha post 500 ndio unajiona wewe mkongweeeee au ndio unaijua Sana jf yaani huo ndio ujinga wa baadhi ya watu humu ukimwambia ukweli anakimbilia kukagua una post ngapi
Je Kama Nina Id kumi?
Kwa hyo ndio kigezo chako
Mjinga kabisa
Mm nimo humu tangu hili jamvi linaanza
Na hata mtu akiwa mgeni ndio asikwambie ukiandika ujinga
 
Sio bure
Utakuwa na matatizo tena makubwa

Yaani POVU lote hilo kisa "emoji"

Samahani lkn....

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Wala hujakosea, kitu kidogo tu kinaweza kumchukua mtu muda mwingi tu wa kufikiria hadi kutunga namna aipendayo, sasa sio vizuri hata kama ni kidogo kukiona hakina thamani na kumuona aliyekitunga hana maana.
 
Kwa hiyo ukifikisha post 500 ndio unajiona wewe mkongweeeee au ndio unaijua Sana jf yaani huo ndio ujinga was baadhi ya watu humu ukimwambia ukweli anakimbilia kukagua una post ngapi
Je Kama Nina Id kumi?
Kwa hyo ndio kigezo chako
Mjinga kabisa
Mm nimo humu tangu hili jamvi linaanza
Na hata mtu akiwa mgeni ndio asikwambie ukiandika ujinga
Sasa kama una ID kumi mimi nikufanyie nini? Nikuchinjie mbuzi? Huo wako ndio UJINGA REMIX!!
 
Bora useme
Hizo emoji zingekuwa zake Sasa si ingekuwa balaaa
Kuna watu hawana kazi za kufanya aisee
Hata kama sina kazi ya kufanya kwani ulishikwa mkono kuja kuchangia?? Ukiingia kwenye kuchangia ujinga nawe ni mjinga Million times!!
 
Kwa hiyo ukifikisha post 500 ndio unajiona wewe mkongweeeee au ndio unaijua Sana jf yaani huo ndio ujinga was baadhi ya watu humu ukimwambia ukweli anakimbilia kukagua una post ngapi
Je Kama Nina Id kumi?
Kwa hyo ndio kigezo chako
Mjinga kabisa
Mm nimo humu tangu hili jamvi linaanza
Na hata mtu akiwa mgeni ndio asikwambie ukiandika ujinga
Hata kama ukijiona mkongwe lazima pia ujue kuna wakongwe zaidi yako unanibania pua " mimi nimo humu tangu hili jamvi linaanza" wenzako pia tulikuwemo tangu inaitwa Jambo forums
 
Hata kama ukijiona mkongwe lazima pia ujue kuna wakongwe zaidi yako unanibania pua " mimi nimo humu tangu hili jamvi linaanza" wenzako pia tulikuwemo tangu inaitwa Jambo forum. Mjinga uliyezeeka kabisa!!
Sasa Nani asiejua kuwa lilikuwa linaitwa Jambo jambo forum
Wee mbona mshamba hvyoooo
Au Kama mtu sio miongwe ndipo hawezi kukwambia ukweli?
Au kuwa mkongwe jf ndio ujanjaa ?
Hebu usinichoshe mm na ujinga wako
 
Back
Top Bottom