Ku-copy na ku-paste style za member wa JF

Bora wewe aisee mimi nilikuta mada nzima wameihamishia kwenye blog. Hafu kuna mtu kaiona huko kaipenda akaleta tena huku jf..
Ni sawa kunakili kitu cha mtu ila kuomba ridhaa kwa muhusika ni vizuri zaidi.

Watu wanadhani hua tunaamka tunaandika tu ila tunaingia gharama sana hadi kitu kupostiwa hapa jf. Mfano mada hii ilinichukua 17,000/=Tsh na muda wangu wa kutosha maana nilitumia masaa 5 kuandika.

Why? Sina kifaa cha kuandikia so kila nikitaka kuandika lazima niende Cafe.

Huko ni gharama zatumiaka then mtu anakopi so easily bila taarifa. Sio Uungwana na Utu kabisa

Ikumbukwe pamoja nakutumia ghalama hizo ila siingizi hata senti 1 kutokana na kuandika

View attachment 1564640
Vilaza wengi tu wanabeba huku vitu vizima vizima na kuhamisha, bila aibu wanajifanya wao ndio wametoa hayo mawazo wanakera sana aisee
 
Hapa sijaona kama amecopy style yako ...mi naona amecopy ujumbe mzima mzima na amepaste.
Ningekuwa mm ningejiproud walau kuna mtu anazipenda jumbe zangu na kuzishare kwa wengine.
 
Be proud. You inspire the guy.
That some inspiration indeed. Strutting naked in the dark:D:D:D.
Ili ajiridhishe kama kweli anakopia aandike baada ya kutoka nje uchi alikuatana na popobawa, tuone kama na wa twitter nae atajumuisha hiyo ya kupopobaliwa.
 
Mtoa mada ni mfano harisi wa mtu anayetumia kichwa kama kifurushi cha maji
 
Duh usicomplicate maisha sana, usijekufa kabla ya siku zako sababu ya mambo madogo, sawa akicopy hivo na kupaste nini kinapungua kwako?au dushe lako linaondoka?😀
 
Duh usicomplicate maisha sana, usijekufa kabla ya siku zako sababu ya mambo madogo, sawa akicopy hivo na kupaste nini kinapungua kwako?au dushe lako linaondoka?

Siamini macho yangu, wewe ndio wa kuniongelea haya!! Hebu andika tena nipate uhakika isijekuwa account yako walii hack!
 
Mkuu kinachoniuma ni kitu kidogo sana.
ni huu mpangilio wa hivi vi emoji tu! Kuna kitu huwa namaanisha kutokana na huu mpangilio wa hivi viemoji, sasa inapotokea mtu kuiga bila kujua maana au nilichomaanisha huwa nakwazika sana.
Wewe mwenyewe emoji umezikopi, hujazitengeneza wewe...!!! Ahahahahahaa
 
Back
Top Bottom