Ku-copy na ku-paste style za member wa JF

Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
26,191
2,000
Kuna member mmoja kwenye twitter anajiita Kidukulilo leo nimeshuhudia kwa macho yangu amecopy na kupaste style yangu, najua sisi kama member wa hapa JF pia tuna account katika mitandao mbali mbali lakini kwanini?

1. Uchukue mambo ya JF uyapeleke Twitter?
2. Kwanini ucopy na kupaste hadi style ya mwenzio?

Kwa kweli alichokifanya huyu member anaejiita Kidukulilo huko kwenye twitter sijapendezwa nacho hata kidogo. Hatukatai kuigana kupo lakini sio mpaka style ya mwenzio.Kwenye kila post nikionyesha kufurahi lazima utakuta hizo emoji kama zilivyo zikiwa zimefuatana katika style hiyo ya 3x3 na naitumia kwa muda mrefu sana, kwanini mtu acopy hadi style ya member mwenziwe?

Ushahidi upo chini kwenye picha.

Screenshot_20200909-205121.jpg

Screenshot_20200909-205517.jpg
 

Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
26,191
2,000
omba hati miliki haraka sana Mkuu kabla hajakuwahi.
Swala la hati miliki hata wasanii wetu hapa nchini sidhani kama wamefanikiwa hadi sasa, sijui kama kwasisi tunaopost kwenye JF sidhani kama itawezakana.
 

Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
26,191
2,000
Kwa hiyo ni kuvumilia tu wakati jamaa akicopy uvumbuzi wako na kukimbia nao Twitter kwenda kuonyesha umahiri wake
Ila sio vizuri, kuna kitu huwa namanisha kupitia mpangilio wa hivyo vi emoji, sasa kwa tu anaenicopy hawezi kujua maana yake.
 

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
30,018
2,000
Bora wewe aisee mimi nilikuta mada nzima wameihamishia kwenye blog. Hafu kuna mtu kaiona huko kaipenda akaleta tena huku jf..
Ni sawa kunakili kitu cha mtu ila kuomba ridhaa kwa muhusika ni vizuri zaidi.

Watu wanadhani hua tunaamka tunaandika tu ila tunaingia gharama sana hadi kitu kupostiwa hapa jf. Mfano mada hii ilinichukua 17,000/=Tsh na muda wangu wa kutosha maana nilitumia masaa 5 kuandika.

Why? Sina kifaa cha kuandikia so kila nikitaka kuandika lazima niende Cafe.

Huko ni gharama zatumiaka then mtu anakopi so easily bila taarifa. Sio Uungwana na Utu kabisa

Ikumbukwe pamoja nakutumia ghalama hizo ila siingizi hata senti 1 kutokana na kuandika

Screenshot_20200909-222631.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom