Ku-copy na ku-paste style za member wa JF

Kuna member mmoja kwenye twitter anajiita Kidukulilo leo nimeshuhudia kwa macho yangu amecopy na kupaste style yangu, najua sisi kama member wa hapa JF pia tuna account katika mitandao mbali mbali lakini kwanini?
1. Uchukue mambo ya JF uyapeleke twitter?
2. Kwanini ucopy na kupaste hadi style ya mwenzio?
Kwa kweli alichokifanya huyu member anaejiita Kidukulilo huko kwenye twitter sijapendezwa nacho hata kidogo. Hatukatai kuigana kupo lakini sio mpaka style ya mwenzio.
Kwenye kila post nikionyesha kufurahi lazima utakuta hizo emoji kama zilivyo zikiwa zimefuatana katika style hiyo ya 3x3 na naitumia kwa muda mrefu sana, kwanini mtu acopy hadi style ya member mwenziwe!!?

Ushahidi upo chini kwenye picha.
View attachment 1564618
View attachment 1564619
Vipi ulishajisajili BASATA tufungue kesi ya madai, tupige pesa
 
Bora wewe aisee mimi nilikuta mada nzima wameihamishia kwenye blog. Hafu kuna mtu kaiona huko kaipenda akaleta tena huku jf..
Ni sawa kunakili kitu cha mtu ila kuomba ridhaa kwa muhusika ni vizuri zaidi.

Watu wanadhani hua tunaamka tunaandika tu ila tunaingia ghalama sana hadi kitu kupostiwa hapa jf. Mfano mada hii ilinichukua 17,000/=Tsh na muda wangu wa kutosha maana nilitumia masaa 5kuandika.
Why? Sina kifaa cha kuandikia so kila nikitaka kuandika lazima niende Cafe.
Huko ni ghalama zatumiaka then mtu anakopi so easily bila taarifa. Sio Uungwana na Utu kabisa
View attachment 1564640
Duh! Pole sana Da'Vinci. Aisee! Hivi JF huwa hawana mambo ya Copyright?!
 
Bora wewe aisee mimi nilikuta mada nzima wameihamishia kwenye blog. Hafu kuna mtu kaiona huko kaipenda akaleta tena huku jf..
Ni sawa kunakili kitu cha mtu ila kuomba ridhaa kwa muhusika ni vizuri zaidi.

Watu wanadhani hua tunaamka tunaandika tu ila tunaingia ghalama sana hadi kitu kupostiwa hapa jf. Mfano mada hii ilinichukua 17,000/=Tsh na muda wangu wa kutosha maana nilitumia masaa 5kuandika.
Why? Sina kifaa cha kuandikia so kila nikitaka kuandika lazima niende Cafe.
Huko ni ghalama zatumiaka then mtu anakopi so easily bila taarifa. Sio Uungwana na Utu kabisa
View attachment 1564640
Pole sana.
 
Tumshauri mwenzetu hatua za kufanya, maana hili swala la kukopiwa limemletea msongo wa mawazo na kumwathiri kisaikolojia.
Halijaniathiri ila sio vizuri. Maana hata gerezani ndani ya Marekani uliwahi kuingia mtindo wa uvaaji kwa wafungwa na watu nje ya gereza wakawa wanaiga mtindo huo huo wa uvaaji bila kujua wale wafungwa walikuwa wanamaanisha nini kuvaa vile! Inatakiwa kwanza ujue mwenzio anamaanisha nini ndipo uige kama ni jema na sio kila kitu unaiga!!
 
Kiukweli sijapenda hata kidogo. Then utakuta ni member wa hapa hapa JF na anajua alichokifanya, na hapa kazi yake kubwa kujisifia ujinga mtupu.
Unajua uhalisia ni uhalisia tu, atapata likes na comments ila moyoni mwake atajua sio yeye ni za jamaa fulani. Japo tabia hiyo inaboa ila inaweza kukuonesha kiasi gani watu wanapenda madini yako.
 
Hata Mimi sijaona tatizo maana kama ni emoj kila mtu anazo kwenye simu na ni haki yake kuzitumia atakavyo
Sawa, ila kuna mtindo mtu huwa anabuni katika huo utumiaji, kama unataka kutumia mtu si na yeye abuni mtindo wake?! Mtu anakopi post kama ilivyo!! What a shame!!
 
Bora wewe aisee mimi nilikuta mada nzima wameihamishia kwenye blog. Hafu kuna mtu kaiona huko kaipenda akaleta tena huku jf..
Ni sawa kunakili kitu cha mtu ila kuomba ridhaa kwa muhusika ni vizuri zaidi.

Watu wanadhani hua tunaamka tunaandika tu ila tunaingia ghalama sana hadi kitu kupostiwa hapa jf. Mfano mada hii ilinichukua 17,000/=Tsh na muda wangu wa kutosha maana nilitumia masaa 5kuandika.
Why? Sina kifaa cha kuandikia so kila nikitaka kuandika lazima niende Cafe.
Huko ni ghalama zatumiaka then mtu anakopi so easily bila taarifa. Sio Uungwana na Utu kabisa
View attachment 1564640
Hii imekuwa kawaida sana siku hizi. Mimi kuna post yangu moja ilitoka humu ikapelekwa Facebook. Baada ya muda, kuna mtu akaitoa Facebook na kuirudisha humu
 
Minmi ninadhani kupeleka mada nje ya JF si dhambi. Lakini ukichukua kazi ya mtu kiri kuwa si yako kwa kumnukuu.
Kama mada ni kubwa ni vizuri kufanya hivyo. Ila kama ni hizi fupi fupi basi walau usikopi kama ilivyo!! Buni mtindo wa kuwasilisha na sio unacopy kama Photocopy bila kuacha hata nukta.
 
Back
Top Bottom