KQ mpaka sasa haiendi route nyingi kutokana na covid-19.
Kenya inafanya jeuri kwa Tanzania wakati katika takwimu zinaonesha KQ mojawapo la soko lake kubwa la abiria duniani ni route za Zanzibar, Dar es Salaam na Kilimanjaro.
Mfanyabiashara kama KQ kupitia serikali yake ya Kenya ilitakiwa wafikiri mara mbili badala ya kuchukua hatua zile ambazo zinazidi kuiumiza KQ.
Tanzania haina cha kupoteza hata iamue kutoruhusu KQ kuja Tanzania kwa miaka 10 ijayo.
7 August 2020
Nairobi, Kenya
Kenya airways yafuta safari zake za kwenda nchi 7 za Kiafrika
Tujiulize kwanini Kenya Airways inalilia sana safari za Kilimanjaro, Zanzibar na Dar es Salaam huku ikiwa imesimamisha kuanzia jana safari nyingi kuelekea nchi kadhaa za kiAfrika.
Tanzania na Zanzibar ndiyo inaibeba KQ kiuchumi kuliko route nyingi za Africa na duniani ndiyo maana wanalia na kupiga magoti anga la Tanzania lifunguliwe ili KQ isije kupata hasara kubwa na kuitwisha serikali ya Kenya mzigo mkubwa wa kutoa ruzuku kwa shirika hill linaloiingizia hasara kubwa kila siku Taifa hilo la Kenya.
Shirika la ndege la Kenya KQ yasitisha safari zake ziendazo ktk miji mikubwa ya nchi 7 za Mozambique, Djibouti, Congo Brazaville, Mali, Angola, Somalia, Malawi na Sudan kutokana na madhara ya Covid -19 kwa route hizo kibiashara, taarifa ya KQ imesema.
7 August 2020
Nairobi, Kenya
KQ scraps 7 African destinations
National carrier Kenya Airways has scrapped more routes it flies to in a strategic move to streamline its operations In a statement, the carrier said it would not resume flights to the destinations mainly in the continent any time soon. Some of the routes scrapped include Luanda, Angola, Bamako, Mali, Brazzaville in Republic of Congo. Other are recently established Mogadishu, Somalia, Khartoum, Djibouti, in Djibouti, Blantyre, Malawi and Maputo, Mozambique. This decision it adds is as a result of the impact of covid-19 on its business.
source : Kenya CitizenTV