KQ yakiri kupata hasara kubwa kutokana na kufungiwa safari za Tanzania

Nchi ya Kenya imekubalia tu nchi kumi, kati ya nchi zote zingine, kwenye usafiri wa anga. Vipi kuhusu route zingine zote pia ambazo zimekwama kwasababu ya COVID-19? Hivi mnadhani KQ huwa inapiga route kienyeji za daladala kama wale ambao sitawataja kwa jina?

Hebu chambueni vizuri hii ramani ya route za KQ kote duniani.

images
With a fleet of 40 planes of which just 3 belong to KQ zigine zote ni za kukodi. Unlike ambao sitawataja wanaomiliki ndege zao wenyewe.

Also, beats me why Kenya imeruhusu watu kutoka nchi zinazoongoza kwa idadi ya maambukizi na vifo kutokana na COVID19 alafu when it comes to Tanzania mnajifanya eti mnajali afya zenu. Tulieni msote kwanza na bado! Huu ndio ukoloni mambo leo haswaaa!
Kwanza hao wamarekani wenyewe mliowaruhusu kwenu hawawataki kwao (travel alert issued against Kenya by the US)
 
Nimepita hapa airport sasa hivi nimeona fly540 ukipakia watu! Kwa nini jamani. Si tumekubaliana ndege yoyote ya kenya isitue!
 
Shirka la ndege la taifa la kunyaland (Kenya) na ndege zake ndo tumelifuta kibali cha kuingia kwenye anga letu Tanzania. So kama kuna ndege ingine ya Kenya Shirka tofauti linaweza operate.
Nimepita hapa airport sasa hivi nimeona fly540 ukipakia watu! Kwa nini jamani. Si tumekubaliana ndege yoyote ya kenya isitue!
 
Hahahaha unaweza ukatumia matumizi hata ya milioni 3 Kwa mwezi lakini ukawa hujagharamia wewe . Mtu unampima ktk point zake tu za kujua faida na hasara unajua huyu bogas anasubiri msosi Kwa mama yake . haiwezekani mtu anaejua biashara akasema uamuzi iliochukua serikali ya TZ wanapata hasara Kwa hesabu zipi mwenzetu ulizotumia ?
Mkuu watu wengine sio wa kubishana nao waache wafe,wazikwe juu panda kisamvu au mti ndio faida zao zilipo humu unapoteza nguvu hamna kitu kichwani.
 
Hehehe!!proof
Sasa ni prove nini wakati wewe uliyesema inakuja Tanzania ndio ulipaswa kuonyesha kama ni picha au ratiba yao inayoonyesha inakuja Tanzania. Jambo jet ni hivi karibuni tu ndio imeanza kwenda Uganda, bado ni domestic flight hapo Kenya.
 
Huu mgogoro umesababishwa kwa kiasi kikubwa na Papamagamba Kabudi kukosa hekima ya kiuongozi na kidiplomasia.

How fafanua pls uwe mzalendo kama kwa umri wako umefuatilia uhusiano wetu na Kenya kwa hakika huna budi kujivunia maamuzi ya serikali ya awamu ya 5 dhidi ya Kenya, Wakenya ni mende, kunguni, viroboto, na Mbwa kbsa
 
Sasa ni prove nini wakati wewe uliyesema inakuja Tanzania ndio ulipaswa kuonyesha kama ni picha au ratiba yao inayoonyesha inakuja Tanzania. Jambo jet ni hivi karibuni tu ndio imeanza kwenda Uganda, bado ni domestic flight hapo Kenya.
Wapi nilisema inakuja
We ndio umesema haiwezi kuja hko..ndio u prove
 
wakati makajamba hapo tanzagiza wanamwaga povu kuliko PERSIL, KQ inaendelea kuchapa kazi...

Ee_Y0inXoAMWm8b.jpg


London/UK

EeciOQ0WoAMc1or.jpg


EeciOQ0X0AAe43L.jpg
 
Shirika la ndege la Kenya Airways linasema kuwa mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania haijabatilisha uamuzi wa kufuta kibali cha kuziruhusu ndege zake kusafiri nchini humo takriban wiki moja baada ya Waziri wa Uchukuzi wa Kenya James Macharia kueleza kuwa nchi hizo mbili zimefikia makubaliano.

Afisa Mkuu Mtendaji wa Shirika hilo la Kenya, Allan Kilavuka, ameeleza kuwa usimamizi wa KQ unasubiri jibu kutoka kwa serikali ya Kenya kwa sababu bado hawajapata idhini ya kusafiri Tanzania.

Takriban wiki moja baada ya serikali ya Kenya kutangaza kuwa imefanya mazungumzo na Tanzania kusuluhisha mgogoro ulioibuka Ijumaa wiki iliyopita baada ya Tanzania kutangaza kufuta ndege za shirika la ndege la Kenya Airways(KQ) kufanya safari zake humo katika viwanja vyake vya ndege vya Dar es Salaam, Kilimanjaro na Zanzibar, Kenya Airways inasema bado hamna jibu ya kufanya safari nchini humo.

Afisa Mkuu mtendaji wa shirika hilo Allan Kilavuka ameeleza VOA kuwa shirika hilo linasubiri maelekezo kutoka kwa serikali ya Kenya kujua utaratibu uliopo.

Waziri wa Uchukuzi nchini Kenya James Macharia wakati akizindua safari za ndege za Kenya Airways to nchi 30 wiki iliyopita katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) alieleza kuwa amefanya mazungumzo na Waziri wa Kazi, uchukuzi na mawasiliano nchini Tanzania Isack Aloyce Kamwelwe na kukubaliana mgogoro huo.

Hata hivyo, Bw Kilavuka anakariri kuwa Kenya Airways haiwezi kufanya chochote ila kusubiri jinsi mgogoro huo unavyosuluhishwa na mamlaka husika za serikali hizi mbili.Lakini anaeleza kuwa kusitishwa huko kuna athari kubwa kwa Kenya Airways.

Hatua hiyo ya Tanzania ilifuatia tangazo la serikali ya Kenya kutoiorodhesha nchi hiyo kuwa miongoni mwa nchi 11 ambazo wasafiri wake wanaruhusiwa kuwasili Kenya wakati usafiri wa kimataifa unaporejea.

Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari Ijumaa wiki iliyopita, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya safari za anga nchini Tanzania (TCAA), Hamza Johari alisema serikali ya Tanzania imesimamisha mara moja safari za ndege za shirika la Kenya Airways kutoka Nairobi kutua viwanja vyake kufuatia tangazo la Kenya kuiacha nje ya nchi zinazoruhusiwa kufanya safari humo.

Hata hivyo siku moja baadaye, Kenya ilitoa ufafanuzi kuwa haijapiga marufuku ndege za Tanzania kuingia nchini mwake hata kama si miongoni mwa nchi zilizoorodheshwa ndege zake kuingia anga ya Kenya.

Kenya Airways ilirejelea safari za ndege za kimataifa Agosti mosi mara ya kwanza baada ya kusitisha safari hizo Machi mwaka huu kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona.

Mgogoro kuhusu safari za Tanzania bado kutatuliwa, yasema Kenya Airways

MY TAKE: Magufuli shikilia hapo hapo Hakuna kuwaruhusu hawa wajinga kwasasa hadi wapige magoti.
Ok
 
Back
Top Bottom