KQ yakiri kupata hasara kubwa kutokana na kufungiwa safari za Tanzania

KQ mpaka sasa haiendi route nyingi kutokana na covid-19.

Kenya inafanya jeuri kwa Tanzania wakati katika takwimu zinaonesha KQ mojawapo la soko lake kubwa la abiria duniani ni route za Zanzibar, Dar es Salaam na Kilimanjaro.

Mfanyabiashara kama KQ kupitia serikali yake ya Kenya ilitakiwa wafikiri mara mbili badala ya kuchukua hatua zile ambazo zinazidi kuiumiza KQ.

Tanzania haina cha kupoteza hata iamue kutoruhusu KQ kuja Tanzania kwa miaka 10 ijayo.

7 August 2020
Nairobi, Kenya
Kenya airways yafuta safari zake za kwenda nchi 7 za Kiafrika
Tujiulize kwanini Kenya Airways inalilia sana safari za Kilimanjaro, Zanzibar na Dar es Salaam huku ikiwa imesimamisha kuanzia jana safari nyingi kuelekea nchi kadhaa za kiAfrika.

Tanzania na Zanzibar ndiyo inaibeba KQ kiuchumi kuliko route nyingi za Africa na duniani ndiyo maana wanalia na kupiga magoti anga la Tanzania lifunguliwe ili KQ isije kupata hasara kubwa na kuitwisha serikali ya Kenya mzigo mkubwa wa kutoa ruzuku kwa shirika hill linaloiingizia hasara kubwa kila siku Taifa hilo la Kenya.

Shirika la ndege la Kenya KQ yasitisha safari zake ziendazo ktk miji mikubwa ya nchi 7 za Mozambique, Djibouti, Congo Brazaville, Mali, Angola, Somalia, Malawi na Sudan kutokana na madhara ya Covid -19 kwa route hizo kibiashara, taarifa ya KQ imesema.

7 August 2020
Nairobi, Kenya
KQ scraps 7 African destinations

National carrier Kenya Airways has scrapped more routes it flies to in a strategic move to streamline its operations In a statement, the carrier said it would not resume flights to the destinations mainly in the continent any time soon. Some of the routes scrapped include Luanda, Angola, Bamako, Mali, Brazzaville in Republic of Congo. Other are recently established Mogadishu, Somalia, Khartoum, Djibouti, in Djibouti, Blantyre, Malawi and Maputo, Mozambique. This decision it adds is as a result of the impact of covid-19 on its business.

source : Kenya CitizenTV
 
Tumekuwekea taarifa toka kwa viongozi wa KQ wenyewe wanasema wanapata hasara kubwa kwa kufungwa kwa safari za Tanzania, wewe unahisi wanasema uongo?, kweli wewe ni mkikuyu usiyekua na akili unatetea kila ujinga wa setikali ya Jubilee
We chizi nini, kwani serikali ya Kenya ndio ilizuia KQ kutua Tanzania? Alafu ni wapi hapo kwenye taarifa hiyo ambapo Afisaa Mkuu mtendaji Bw. Kivaluka amezungumza kuhusu hasara isipokuwa kusema kwamba wanangoja muelekezo kuhusu mgogoro wenyewe?
 
Afisa Mkuu mtendaji wa shirika hilo Allan Kilavuka ameeleza VOA kuwa shirika hilo linasubiri maelekezo kutoka kwa serikali ya Kenya kujua utaratibu uliopo.

Waziri wa Uchukuzi nchini Kenya James Macharia wakati akizindua safari za ndege za Kenya Airways to nchi 30 wiki iliyopita katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) alieleza kuwa amefanya mazungumzo na Waziri wa Kazi, uchukuzi na mawasiliano nchini Tanzania Isack Aloyce Kamwelwe na kukubaliana mgogoro huo.

Hata hivyo, Bw Kilavuka anakariri kuwa Kenya Airways haiwezi kufanya chochote ila kusubiri jinsi mgogoro huo unavyosuluhishwa na mamlaka husika za serikali hizi mbili.Lakini anaeleza kuwa kusitishwa huko kuna athari kubwa kwa Kenya Airways.

Hatua hiyo ya Tanzania ilifuatia tangazo la serikali ya Kenya kutoiorodhesha nchi hiyo kuwa miongoni mwa nchi 11 ambazo wasafiri wake wanaruhusiwa kuwasili Kenya wakati usafiri wa kimataifa unaporejea.
 
Sasa hizo 'athari kubwa' anazozizungumzia Bw. Kivaluka ndio zinafanya mruke ruke utadhani KQ ina route hizo tu za Tz? Ndio maana nikauliza kuhusu route hizi zingine zote ambazo zimekwama kwasababu ya Corona, isipokuwa nchi 10 tu ambazo zimekubaliwa hivi majuzi.
images
Lakini anaeleza kuwa kusitishwa huko kuna athari kubwa kwa Kenya Airways.
 
Hahaaa!! Acha vituko wew me huwa sijibibu hoja huwa nauliza vitu vidogo sana
1.Hao watalii destination yao kubwa huwa wapi?
Najua utasema Tanzania!
2.Unajua nni hutokea maranyingi unapo mfaulisha mtalii.
Obviously huelewi unachoongea. Labda nikueleweshe kinachoendelea.
Kwa mfano unafanya booking ya kuja Dar tokea nchi flani kutumia ndege ya xyz ambayo haifiki Dar but inafika Nairobi. Kama hilo shirika la xyz lipo skyteam pamoja na KQ, basi wewe utafanya booking na kulipia ticket yako toka huko uliko hadi Dar via Nairobi even though xyz haifiki Dar. Utapofika Nairobi utacheck in kwenye KQ na ticket yako ya shirika la xyz.

3.kwann KQ ina litaka soko la Tanzania sana na Tanzania haina muda nao na kq ndio wafuliwa wakubwa.
hii nayo unaona ni point?!
4.Nitajie hasara itakayo pata kenya Na nitajie itakayo pata Tanzania.
Jibu lipo kwenye post yangu ulioi-quote.
Kwanza nikujibu ww then tuwekane sawa.
1.kenya inatumia ghalama kubwa kutangaza vivutio vilivyo Tanzania
kwa kujinadi vipo kwao mfanomfano; Mt. Kilimanjaro, serengeti, Ngorongoro nk .hapa wana vuta watalii wenge na wakifika kenya wanaishia Masai mara na Amboseli.
Hivi tunaongea fact ama stori za vijiweni? Naamini ukisema Kenya unamaanisha serekali ya Kenya na sio mwananchi mmoja mmoja kule twiter? Kama una-smart phone na internet na bado unaongea propaganda kama hizi za toka mababu zetu na Fact kwamba unaamini ujinga kama huo unanipa wasi wasi na uwezo wako wa kufikiri.
2.Unapo mfaulisha mtalii kwer gharama upanda na ndicho wanacho fanya kenya kuvuta wire upande wao ili watalii washinde kushuka mahala stahiki waishie kenya ama laaa ! Wakachangie KQ.
Hii nadhani nilishajibu..... ukikata ticket mara mbili inakua expensive zaidi. So actually ni kinyume chake, unapomfaulisha, abiria anapata ahueni.
Faida kwa Tz ni🔥🔥 nyingi mno ongezeko la watalii ambapo mapato yatapanda Na kama hujui Mashilika ya ndege huangalia faida so kuja Tz itakuwa na faida na Ndipo ATCL ita faidika.
Kuzuia KQ kutapelekeaje watalii kuongezeka kwa mfano?
 
Ondoa porojo hapa, KQ ni takataka unapozungumzia masharika timamu ya kutumainika
Usiwe kama mwanamke mwenye wivu! Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpe! Hilo shirika limeshinda mataji mengi tu kutokana na maoni ya wateja wake ukilinganisha na mashirika mengine unayoona ya maana sana, asa we kuliita takataka haina bearing yoyote ukizingatia wewe sio prospective customer wa airline yoyote ukiachia mbali KQ.
 
Ndugu hii raman ilikuwa ni KQ ya zaman ss iv the shirika is Zoofuli hali kuna route kibao katibya izo wali kata ili kupunguza loss kumbuka KQ ni kampuni inayo jiendesha kihasara kwa mujibu wa investment waliyofanya wawekezaji akiwemo CEO wa safaricom jina mnamjua
Hiyo ramani ni ya route zote active za KQ kabla ya janga la Corona.
 
Weeeee recent kabla ya corona it was) remember this is rona zone before KQ suspended 8 route in Africa including Mozambique and others note that
 
7 August 2020
Nairobi, Kenya
Kenya airways yafuta safari zake za kwenda nchi 7 za Kiafrika
Tujiulize kwanini Kenya Airways inalilia sana safari za Kilimanjaro, Zanzibar na Dar es Salaam huku ikiwa imesimamisha kuanzia jana safari nyingi kuelekea nchi kadhaa za kiAfrika.

Tanzania na Zanzibar ndiyo inaibeba KQ kiuchumi kuliko route nyingi za Africa na duniani ndiyo maana wanalia na kupiga magoti anga la Tanzania lifunguliwe ili KQ isije kupata hasara kubwa na kuitwisha serikali ya Kenya mzigo mkubwa wa kutoa ruzuku kwa shirika hill linaloiingizia hasara kubwa kila siku Taifa hilo la Kenya.

Shirika la ndege la Kenya KQ yasitisha safari zake ziendazo ktk miji mikubwa ya nchi 7 za Mozambique, Djibouti, Congo Brazaville, Mali, Angola, Somalia, Malawi na Sudan kutokana na madhara ya Covid -19 kwa route hizo kibiashara, taarifa ya KQ imesema.

7 August 2020
Nairobi, Kenya
KQ scraps 7 African destinations

National carrier Kenya Airways has scrapped more routes it flies to in a strategic move to streamline its operations In a statement, the carrier said it would not resume flights to the destinations mainly in the continent any time soon. Some of the routes scrapped include Luanda, Angola, Bamako, Mali, Brazzaville in Republic of Congo. Other are recently established Mogadishu, Somalia, Khartoum, Djibouti, in Djibouti, Blantyre, Malawi and Maputo, Mozambique. This decision it adds is as a result of the impact of covid-19 on its business.

source : Kenya CitizenTV

News Alert : Habari za hivi punde :
8 August 2020
Nairobi, Kenya
Kufuatia mdororo KQ kufuta kazi wafanyakazi 700
Wafanyakazi wa KQ walalamikia uamuzi wa KQ kuwapunguza kazi wafanyakazi wa Kenya Airways

Wafanyikazi mia saba wa shirika la ndege la Kenya Airways wanatazamiwa kupoteza kazi zao huku janga la corona likiendelea kuathiri oparesheni za shirika hilo. Hatua hiyo inafuatia kusitishwa kwa baadhi ya safari za ndege kwa mataifa kadhaa barani afrika kutokana na kuwa biashara imedorora na hali haionekani kuimarika karibuni. Barua iliyoandikwa na afisa mkuu mtendaji wa shirika hilo la kq allan kilavuka kwa wafanyikazi imeeleza hali ilivyoathirika huku chama cha wafanyikazi wa mashirika ya ndege kikikosoa uamuzi huu.

Source : Kenya CitizenTV

Tanzania is one of the critical routes for Kenya Airways and the national carrier had planned two daily flights to Dar es Salaam and three weekly flights to the resort city of Zanzibar. Source : https://www.businessdailyafrica.com...ption/3946234-5605468-od624d/index.html/QUOTE]
 
Nchi ya Kenya imekubalia tu nchi kumi, kati ya nchi zote zingine, kwenye usafiri wa anga. Vipi kuhusu route zingine zote pia ambazo zimekwama kwasababu ya COVID-19? Hivi mnadhani KQ huwa inapiga route kienyeji za daladala kama wale ambao sitawataja kwa jina? Hebu chambueni vizuri hii ramani ya route za KQ kote duniani.
images
Sasa mbona mnaumia sana kuzuiwa kuja TZ si muende huko?? We dont care you nyang'ao!
 
Najua utasema Tanzania!

Obviously huelewi unachoongea. Labda nikueleweshe kinachoendelea.
Kwa mfano unafanya booking ya kuja Dar tokea nchi flani kutumia ndege ya xyz ambayo haifiki Dar but inafika Nairobi. Kama hilo shirika la xyz lipo skyteam pamoja na KQ, basi wewe utafanya booking na kulipia ticket yako toka huko uliko hadi Dar via Nairobi even though xyz haifiki Dar. Utapofika Nairobi utacheck in kwenye KQ na ticket yako ya shirika la xyz.

hii nayo unaona ni point?!

Jibu lipo kwenye post yangu ulioi-quote.

Hivi tunaongea fact ama stori za vijiweni? Naamini ukisema Kenya unamaanisha serekali ya Kenya na sio mwananchi mmoja mmoja kule twiter? Kama una-smart phone na internet na bado unaongea propaganda kama hizi za toka mababu zetu na Fact kwamba unaamini ujinga kama huo unanipa wasi wasi na uwezo wako wa kufikiri.

Hii nadhani nilishajibu..... ukikata ticket mara mbili inakua expensive zaidi. So actually ni kinyume chake, unapomfaulisha, abiria anapata ahueni.

Kuzuia KQ kutapelekeaje watalii kuongezeka kwa mfano?
Kijana amka acha kuchekesha watu hapa kwanza hujui kuangalia pembe za vikwazo ndio maana ume jibu upupu Hapo kwa kushindwa kujiongeza
Ok anga za Tz lime fungwa kwa KQ wafaulishaji ilikuwa ni nyiye kinacho????
Msafili yoyoye huangalia frying hours nasio ufaulishaji as you know hawa watu hujali muda.
Na yawezekana hujui serikali ni nini??

="hydrogen, post: 36284621, member: 109816"]
Hivi tunaongea fact ama stori za vijiweni? Naamini ukisema Kenya unamaanisha serekali ya Kenya na sio mwananchi mmoja mmoja kule twiter? Kama una-smart phone na internet na bado unaongea propaganda kama hizi za toka mababu zetu na Fact kwamba unaamini ujinga kama huo unanipa wasi wasi na uwezo wako wa kufikiri.

What is Government???? Then ujicheke
Umekubali watalii wengi huja Tz serikali yetu inacho taka kufanya nikuweka mchezo wima kwann ndege ziishie kenya zisifike Tz ua kuja Tz lazima ushuke kenya upande daladala uje Tz why?? hivi ndio vi2 vya kujiuliza
Ndio maana Ilipo zidiwa Terminal 2 ika jengwa Terminal 3,ina panuliwa Mwanza Airport na itajengwa Msalato haya mzee tukitegemea kufaulishiwa Airport zote hizo hazita kuwa na faida yoyote isipo kuwa mapambo yaliyo jengwa kwa gharama kubwa Hatua zinazo chukuliwa zilitegemewa kama sio hiyo juzi jata kesho ingetokea so acha kubwabwaja tumia akili.
 
Kijana amka acha kuchekesha watu hapa kwanza hujui kuangalia pembe za vikwazo ndio maana ume jibu upupu Hapo kwa kushindwa kujiongeza
Ok anga za Tz lime fungwa kwa KQ wafaulishaji ilikuwa ni nyiye kinacho????
Msafili yoyoye huangalia frying hours nasio ufaulishaji as you know hawa watu hujali muda.
Na yawezekana hujui serikali ni nini??

What is Government???? Then ujicheke
Umekubali watalii huja wengi huja Tz serikali yetu unacho taka kufanya nikuweka mchezo wima kwann ndege ziishie kenya zisifike Tz ua kuja Tz lazima ushuke kenya ipande daladala ije Tz why hivi ndio vi2 vya kujiuliza
Ndio maana Ilipo zidiwa Terminal 2 ika jengwa Terminal 3,ina panuliwa Mwanza Airport na itajengwa Msalato haya mzee tukitegemea kufaulishiwa Airport zote hizo hazita kiwa na faida yoyote isipo kuwa mapambo yaliyo jengwa kwa gharama kubwa Hatua zinazo chukuliwa zilitegemewa kama sio hiyo juzi jata kesho ingetokea so acha kubwabwaja tumia akili.
Bora nikuache ulivyo. Kama Hujui kuandika utawezaje kua na coherent line of thought?! Total waste of my time
 
Huu mgogoro umesababishwa kwa kiasi kikubwa na Papamagamba Kabudi kukosa hekima ya kiuongozi na kidiplomasia.
Kwani kabudi ndie alietangaza kwamba watanzania hawataruhusiwa kuingia Kenya kwa ndege?
Hata wewe mtu kila siku akuchoze umuangalie tu,saa ingine akupooze ukigeuka tu anaanza tena itakua ujinga basi
 
We chizi nini, kwani serikali ya Kenya ndio ilizuia KQ kutua Tanzania? Alafu ni wapi hapo kwenye taarifa hiyo ambapo Afisaa Mkuu mtendaji Bw. Kivaluka amezungumza kuhusu hasara isipokuwa kusema kwamba wanangoja muelekezo kuhusu mgogoro wenyewe?
Chizi ni yule ambaye anazuia ndege za nchi jirani kuingia ktk nchi yake na anategemea ndege zake kuruhusiwa kuingia katika hiyo nchi aliyoifungia.
 
Shirika la ndege la Kenya Airways linasema kuwa mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania haijabatilisha uamuzi wa kufuta kibali cha kuziruhusu ndege zake kusafiri nchini humo takriban wiki moja baada ya Waziri wa Uchukuzi wa Kenya James Macharia kueleza kuwa nchi hizo mbili zimefikia makubaliano.

Afisa Mkuu Mtendaji wa Shirika hilo la Kenya, Allan Kilavuka, ameeleza kuwa usimamizi wa KQ unasubiri jibu kutoka kwa serikali ya Kenya kwa sababu bado hawajapata idhini ya kusafiri Tanzania.

Takriban wiki moja baada ya serikali ya Kenya kutangaza kuwa imefanya mazungumzo na Tanzania kusuluhisha mgogoro ulioibuka Ijumaa wiki iliyopita baada ya Tanzania kutangaza kufuta ndege za shirika la ndege la Kenya Airways(KQ) kufanya safari zake humo katika viwanja vyake vya ndege vya Dar es Salaam, Kilimanjaro na Zanzibar, Kenya Airways inasema bado hamna jibu ya kufanya safari nchini humo.

Afisa Mkuu mtendaji wa shirika hilo Allan Kilavuka ameeleza VOA kuwa shirika hilo linasubiri maelekezo kutoka kwa serikali ya Kenya kujua utaratibu uliopo.

Waziri wa Uchukuzi nchini Kenya James Macharia wakati akizindua safari za ndege za Kenya Airways to nchi 30 wiki iliyopita katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) alieleza kuwa amefanya mazungumzo na Waziri wa Kazi, uchukuzi na mawasiliano nchini Tanzania Isack Aloyce Kamwelwe na kukubaliana mgogoro huo.

Hata hivyo, Bw Kilavuka anakariri kuwa Kenya Airways haiwezi kufanya chochote ila kusubiri jinsi mgogoro huo unavyosuluhishwa na mamlaka husika za serikali hizi mbili.Lakini anaeleza kuwa kusitishwa huko kuna athari kubwa kwa Kenya Airways.

Hatua hiyo ya Tanzania ilifuatia tangazo la serikali ya Kenya kutoiorodhesha nchi hiyo kuwa miongoni mwa nchi 11 ambazo wasafiri wake wanaruhusiwa kuwasili Kenya wakati usafiri wa kimataifa unaporejea.

Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari Ijumaa wiki iliyopita, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya safari za anga nchini Tanzania (TCAA), Hamza Johari alisema serikali ya Tanzania imesimamisha mara moja safari za ndege za shirika la Kenya Airways kutoka Nairobi kutua viwanja vyake kufuatia tangazo la Kenya kuiacha nje ya nchi zinazoruhusiwa kufanya safari humo.

Hata hivyo siku moja baadaye, Kenya ilitoa ufafanuzi kuwa haijapiga marufuku ndege za Tanzania kuingia nchini mwake hata kama si miongoni mwa nchi zilizoorodheshwa ndege zake kuingia anga ya Kenya.

Kenya Airways ilirejelea safari za ndege za kimataifa Agosti mosi mara ya kwanza baada ya kusitisha safari hizo Machi mwaka huu kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona.

Mgogoro kuhusu safari za Tanzania bado kutatuliwa, yasema Kenya Airways

MY TAKE: Magufuli shikilia hapo hapo Hakuna kuwaruhusu hawa wajinga kwasasa hadi wapige magoti.
Hapo ndio Ujue Mirungi mibaya kwa Afya@
 
Back
Top Bottom