Kozi za Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA)

Nedd Ludd

Senior Member
May 16, 2023
134
240
Wakuu, ambao mnakijua/ mmesoma Chuo cha Mwalimu Nyerere Kigamboni, pale niliona watoa Elimu kuanzia ngazi ya certificate hadi Masters.

Sasa katika kuangalia kozi zinazotolewa pale, niliona hii "Management of Social Development" kwa ngazi ya degree. Katika kufuatilia katika vyuo vingine sijawahi kuona kozi hii.

Naomba kujua hii kozi inahusiana na nini na kazi zake ni zipi.
 
Hiyo ni course ya social science ila ipo general sana. We kama unataka kasome social work ndoyo inaenda vizuri ipo straight
 
Back
Top Bottom