Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

Mwaka huu kuna ufadhili Wa masomo ya afya?..mfano ngazi ya certificate of nursing etc
 
ndo uelewa wako ulikoishia hapo jmn kweli tanzania kazi ipo dah
Kama unaona kiswahili ulicho andika kipo sawa basi nikuache tu
Tofautisha lugha ya kuchatia na lugha ya kuwasiliana na jukwaa kama hili
 
diploma ,Lakini itabidi ukimaliza uunganishie na degree.
 
Naomba kushquriwa juu mtu akitaka kusomq kozi kati ya hizo mbili ipi utamshauri na kwann? hlf mishahara yake kwa anqyefahamu kwa ngazi yq serikali naomba aniambie

dogo hebu tulia uandike vizuri hizo q,q ndio nini.?halafu soma kwanza kuhusu mshahara utajua baadae fikia kwanza malengo yako.
 
Zote ni nzuri na mishahara yake ni mizuri[emoji4] [emoji4]
 
hapo nimekusoma mkuu.hivi kumbe mtu anaweza akasoma diploma na certificate kwa pamoja?
 
kutukana naweza mno....ila busara ndo msingi wa maisha yangu...nashukuru sana mi mpumbavu...!!!
ila kwa uelewa wangu MTU wa certificate let say clinical mdcn ili asome diploma kwa mwaka mmoja inabidi awe na GPA 3.5....na kuendelea!!!!
kheri ya mpumbavu kuliko mkosa busa ra!!!nimemaliza form 4 mwaka 2003
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…