Ubarikiwe sana Dean of Student!Kingine ni kuwa kuna vyuo vya nursing ambavyo vinafungua tar 18/04 na mwisho wa kutuma maombi ni tar 31 mwezi huu na kuna vyuo ambavyo vinafungua mwezi wa saba na mwisho wa kutuma maombi ni tar 31/05. Na kote kuna vyuo vyake. Nimeona vyuo ulivyo chagua ivyo vyote vinanguliwa mwezi wa saba na sio wa nne.
Mkuu ni mwendo Wa online tuu sasa hivi....nasikia hakuna kujaza form...Jaza fomu
Uzi huu ni kwa wale wote ambao wamefanya application kwenye kozi zote za Afya kuna mengi ya kushauriana, maswali juu ya kozi husika na maswali juu ya vyuo husika..!!
Karibuni sana kwenye mwaka wa masomo 2016/2017
Nisaidie jamani. Hivi unafanya choice ngapi, tatu au zaidi. Kwangu zinaonekana tatu, lakini wengine wameenda mpaka zaidi ya tatu. Advise pleaseUzi huu ni kwa wale wote ambao wamefanya application kwenye kozi zote za Afya kuna mengi ya kushauriana, maswali juu ya kozi husika na maswali juu ya vyuo husika..!!
Karibuni sana kwenye mwaka wa masomo 2016/2017
Choice ni 3 tuu mkuuNisaidie jamani. Hivi unafanya choice ngapi, tatu au zaidi. Kwangu zinaonekana tatu, lakini wengine wameenda mpaka zaidi ya tatu. Advise please
Nenda NACTE ukiwaambia wanakutoa kwenye system then unaomba tena! Mi pia yalinikuata ayo nikaenda NACTE wakanitoa kwenye system!je wanaruhusugu kurudia application kama walikuselect apo awali,ebu ulizia kwa wazoefu then unipe jibu mkuu
ikitokea ulichaguliwa kwenda chuo....ila kutokana na mambo ya kifamilia hukwenda chuo kuripoti.....je kuna uwezekano wa kuomba tena na ukakubaliwa?Nenda NACTE ukiwaambia wanakutoa kwenye system then unaomba tena! Mi pia yalinikuata ayo nikaenda NACTE wakanitoa kwenye system!
Uwezekano upo kikubwa wakutoe tuu kwenye system! Kwasababu ukiwa kwenye system wanaamini ya kiwa uliripoti chuoni.ikitokea ulichaguliwa kwenda chuo....ila kutokana na mambo ya kifamilia hukwenda chuo kuripoti.....je kuna uwezekano wa kuomba tena na ukakubaliwa?
Uzi huu ni kwa wale wote ambao wamefanya application kwenye kozi zote za Afya kuna mengi ya kushauriana, maswali juu ya kozi husika na maswali juu ya vyuo husika..!!
Karibuni sana kwenye mwaka wa masomo 2016/2017