- Thread starter
- #21
Inategeme kama kuna nafasi au ikitokea mtu anataka kuhamia pharmacy mnaweza kuexchange
Ila kiujumla ni rahisi kuhama kutoka MD kwenda course zingine kuliko kutoka hizo kozi kwenda MD
Pamoja mkuu
Inategeme kama kuna nafasi au ikitokea mtu anataka kuhamia pharmacy mnaweza kuexchange
Ila kiujumla ni rahisi kuhama kutoka MD kwenda course zingine kuliko kutoka hizo kozi kwenda MD
Nmesikia kuhama kozi hapo MUHAS mpaka umpate mtu wa ku exchange je n kweli?Inategeme kama kuna nafasi au ikitokea mtu anataka kuhamia pharmacy mnaweza kuexchange
Ila kiujumla ni rahisi kuhama kutoka MD kwenda course zingine kuliko kutoka hizo kozi kwenda MD
duh! htr kwel bpharm nouma m nmechaguliwa bpharm cuhas
Habari zenu wakuu,samahani mm nlikuwa natamani nisome pharmacy certificate.,alaf katika ufaulu wang masomo ya sayansi nimefeli chemistry tu.,je, naweza kupata chuooo?
Nashukuru mkuu... lakini ningependa kujua pharmac unakua una deal na masomo yapi hasa....pharmacy msuli wake n hatar ..utafika mda utataman kuhamia md...utaona wenzako wanakula bata afu we ndo unateseka ...na hyo c muhas tu bal n vyuo vyote imrad n bpharm....bt ukijua ulichofuata hutakimbia bali utaipenda sana...karibu pharmacy jpo m cio wa muhas...
Nimechaguliwa st Francis ifakara MD naombeni namba ya mhusika yeyote pale ili nipate admission letter wakuu.nmetuma email cjibiwi.
Msuli wake ni mkubwa kuliko wa medicine.Kazi unafanya hospitali,viwanda vya kutengeneza dawa,regulatory authorities kama Pharmacy Council na TFDA...Karibu Muhas upate stress
Nashukuru mkuu... lakini ningependa kujua pharmac unakua una deal na masomo yapi hasa
wadau mm nmesoma pcm na nikafaulu bt nataka nilasome diploma ya pharmcy je itawezekana?
acha upotoshaji kaka, kozi yoyote ya afya(yoyote) msingi mkuu ni somo la biology, kama huna bios sahau.(Pcb)....kama umefaulu vzr hasa chemistry o level na A level afu unadaraja zuri unasoma hata bachelor..mfano m nmesoma pcm bt nw npo pharmacy...
acha upotoshaji kaka, kozi yoyote ya afya(yoyote) msingi mkuu ni somo la biology, kama huna bios sahau.(Pcb)
Sasa wewe unasema anapotosha wakati anakwambia ukweli.Nenda pale Sekou Toure kuna intern pharmacist graduate wa CUHAS na amesoma PCM Ilboru.Hivi unaijua kozi ya pharmacy?Ni kweli kama huna biology utasumbuka hususani kwenye basic knowledge kama anatomy,physiology na biochemistry ambavyo hata hivyo ukiwa mwanafunzi smart unazimaster vizuri tu.Huko mbeleni ni kemia na mambo mengine ambayo hayategemei sana hiyo Advanced Biology unayoisemea wewe