Kozi ya Ufamasia

conco

Member
Sep 20, 2015
25
7
Kwa mnaoifahamu naomba mnijuzs vizur kuhusu hii course nikimaanisha ajira yake na mshahara kwa mtu wa degree
 
Hongera kwa kuchaguliwa hii course.Ni kozi nzuri,ajira ni moja kwa moja ukitoka shule

Mshahara wake kwa mtu anaeanza ni TGHS D ambayo ni milioni moja na laki mbili na kumi na tano bila makato

Kama umechaguliwa Muhimbili inabidi ujipange kwa sababu kwenda pale is a gift lakini kutoka salama is a fight.Good luck
 
Duh ni kweli nmechaguliwa muhas broh... ko msuli wake unaeza kuwa kama wa medicine... na kazi unaajiriwa maeneo gani
 
Msuli wake ni mkubwa kuliko wa medicine.Kazi unafanya hospitali,viwanda vya kutengeneza dawa,regulatory authorities kama Pharmacy Council na TFDA...Karibu Muhas upate stress
 
mbona kuna jamaa zangu walikimbia medicine kwenda pharmacy na dental surgery
 
Hongera kwa kuchaguliwa hii course.Ni kozi nzuri,ajira ni moja kwa moja ukitoka shule

Mshahara wake kwa mtu anaeanza ni TGHS D ambayo ni milioni moja na laki mbili na kumi na tano bila makato

Kama umechaguliwa Muhimbili inabidi ujipange kwa sababu kwenda pale is a gift lakini kutoka salama is a fight.Good luck

Acha kudanganya wenzio mshahara sio milioni moja na laki mbili hebu jaribu kuangalia vizur salary grade za serikal sio unaropoka tu..
 
Acha ujinga wa kuwa unabisha bisha vitu usivyovijua.Pitia hii pdf
 
Attachments

  • SCAN_DOC_A.pdf
    383.4 KB · Views: 650
....pharmacy msuli wake n hatar ..utafika mda utataman kuhamia md...utaona wenzako wanakula bata afu we ndo unateseka ...na hyo c muhas tu bal n vyuo vyote imrad n bpharm....bt ukijua ulichofuata hutakimbia bali utaipenda sana...karibu pharmacy jpo m cio wa muhas...
 
Hiyo kazi inalipa kaka kwani mbali na kuajiriwa Serikalini unaweza kuingia Mkataba na Wafanyabiashara wenye Pharmacy ukampa cheti chako kwa malipo ya Tsh. 1,500,000/ kwa mwezi bila makato yoyote.
 
Aseeeee comment zenu apo juu zmenfungua akili kwa hiyo kweli inabidi nkifika huko niufungue ubongo wangu uzuri kabisa nsije sap kama wanavosema wakubwa
 
Kwa muhas inawezekana kuhama from pharmacy to medicine

Inategeme kama kuna nafasi au ikitokea mtu anataka kuhamia pharmacy mnaweza kuexchange

Ila kiujumla ni rahisi kuhama kutoka MD kwenda course zingine kuliko kutoka hizo kozi kwenda MD
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom