Kozi ya diploma in primary school teaching, vigezo ni vipi?

Natamani kuomba chuo mwaka huu sijui nifanyeje tu naomba mwenye kijua hyo NTA level 4 anieleze yaan hpo mi siel kitu
Tafuta kazi nyingine mkuu,ualimu sio wito wako,hata hivyo hakuna marupurupu,mwanafunz akivunja dawat unalipa wewe,mshahara Mdogo,nyumba za walimu hakuna,suala la umeme na maji sahau kabisa kwakuwa utapelekwa sitimbi,mwanafunz akifeli lawama kwako,
Hahaha ualimu noma aiseee
 
Sasa huo ndo maketable kwa uhakika wa kaz ya kudum zingne zip ssa nitajiaepo walau 5 nichague
 
kwani wale walioomba kozi za ualimu wa primary ded line iliwekwa mwezi juni 30 je majina yametoka?
 
Ndugu wana jf, habari, polen na majukumu.
Ninaomba kufafanuliwa kuhusiana na hii course kwa upande wa O-level. Je mtu mwenye D4 kidato cha nne anaruhusiwa kuomba course hyo? Taratibu za maombi zikoje?
Unatakiwa uwe na angalau div 3 isiyo ya BRN kwa serikali hii ya sasa
 
Hivi na ukisoma diploma in primar school open university je utaajiriwa na serikali??...
 
Back
Top Bottom