Kozi nzuri sua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kozi nzuri sua

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Nyalotsi, Feb 29, 2012.

 1. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Salamu zenu wakuu,nna mdogo kamaliza cbg anapendelea cozi za mambo ya mifugo na kilimo. Je ni ipi ambayo akiiso itamuwezesha kupata ajira au kujiajiri mwenyewe na akatoka kimaisha? Isiwe ya kutegemea kuajiriwa serikalini tu,awe na mwanga wa kuweza kuona opportunities zilizopo na kuzitumia. Kuhusu kufaulu sina wasiwasi,he is gud upstairs lakini na kufeli kupo pia. Asanteni.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Veterinary medicine,animal science etc.
   
 3. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  asante mkuu. Ila dah! Nakumbuka nimetumia 5 years muhimbili kuutafuta umaskini. Hata uwezo wangu wa kusaka pesa niliokuwa nao before ulipotea kabisa. Unaposoma miaka mingi unazidi kuwa ajira oriented zaidi. Hakuna kozi za miaka mitatu?
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  animal science ni 3yrz kama ckosei..lakin mziki wa sua atauweza?
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ufugaji nyuki na Ukuzaji maua, kwani nchi yetu imejaliwa mapori mengi yenye nyuki wengi!
   
 6. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,535
  Trophy Points: 280
  Asome B.Sc. Forestry. Mabadiliko ya hali ya hewa na tabia nchi yatamfanya daima awe ana deal. Kupitia upandaji wa miti na misitu,upimaji na uuzaji wa hewa ya ukaa n.k.

  Akiweza kuchanganya na courses kadhaa za wildlife,atajiongezea zaidi deal. Kwani kuna uwezekano wa kuwepo kwa private game reserves hapo mbeleni. So ataweza kufanya biashara nzuri pia.
   
 7. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama wameelewa unachotaka mkuu. Kuna shida kidogo ya mifumo yetu ya elimu na namna vyuo vinavyoendeshwa. SUA na vyuo vingine vya mifugo (LITTI) si vyuo rafiki kwa wakulima na wafugaji. Kwa navyoviona ni vyuo vya kuzalisha wataalam wa kilimo na mifugo badala ya kuwa vyuo vya kuzalisha wakulima bora na wafugaji bora.

  Niliwahi kufuatilia course za vyuo mbali mbali vya mifugo hapa Tanzania na niliona hakuna hata kimoja chenye kozi yenye kumfundisha MKULIMA/MFUGAJI how to. Badala yake vyote vina makozi mazito mazito ya miaka mi4 ambayo ukimaliza unakuwa daktari wa mifugo au msaidizi wake.

  Mimi nafikiri ili tutoke hapa tulipo, ililazimu tuwe na vyuo (tena vingi) vitakavyokuwa na kozi fupi na rafiki kwa wakulima ambapo mtu ataingia akiwa hajui namna mpunga unavyopandwa na atatoka baada ya miezi 12 akiwa bingwa wa kulima mpunga. Mtu aingie chuoni kwa kozi ya miezi 8 akiwa hajui kuchagua ng'ombe bora, kumhudumia na kumkamua na atoke akiyajua hayo yote.

  Huu utaratibu wa kuzalisha maafisa badala ya wakulima na wafugaji ndio unatudumaza kwani hao madaktari wa mifugo na maafisa kilimo wote wapo hapa mjini na kule mashambani wamebaki wakulima peke yao wakiwa hawajui kwa hiyo hufanya kwa kubahatisha.
   
 8. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  mkuu shizukan ushauri wako mzuri lakini nani atakayeplan na kutekeleza hayo? Kuna serikali inayojali wakulima nchi hii? Kama unageuza wafanyabiashara ndo wanakuwa watunga sera unategemea nn? Tuna safari ndefu ya kujikomboa kisiasa,kifikra na kiuchumi ili tuendane na kasi ya dunia ya sasa.
   
 9. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Na kozi gani? Nzuri kwa hz LITIs
  ambayo iko sokon
   
 10. +255

  +255 JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Hiyo BVM uwe umejitolea kinoma, na uwe tayari kurudi nyumbani muda wowote!!
   
 11. BORNCV

  BORNCV JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akasome Bsc. Agronomy hili program la kula kuku!
  Ndio wanaohitajika sana.
   
 12. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Nimeku-PM mkuu.
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Environmental sciences ni marketable sana pia.
  Fanya hivi, angalia website ya SUA uangalie available courses. Google each na angalia available opportunities na ulinganishe na hali ya nchi na ndoto zake (hata kubeba boksi nayo ni kazi inatoa tu...)
   
 14. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  tafuta coz inayohusiana na production ndo utatoka fasta..mfano Bsc agronomy Bsc agriculture Bsc food science and technology Bsc animal science.. Bsc environmental science ni coz nzuri ila kazi zake ngum kupatikana hii ni kwa sababu nature ya kazi zake inahusisha sana policy na regulations na nchi yetu swala la mazingira haijalipa kipaumbele..ila ukipata inakuwa kazi ya maana. Vile vile sua kuna coz za Bsc education ambapo akimaliza anaingia kwenye ajira moja kwa moja. BVM asiende labda kama ana wito na anaweza kukomaa 5yrs.
   
 15. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  asante kwa ushauri wenu, hiyo bvm,dah! Agronomy naweza kumshauri na animal mambo ya agriculture. Food sciences ajira zake wapi au ndo mambo ya kuwa caterer wa mahotelini? Kuna kazi zingine hata mimi niliyesoma medicine nikiwa ma mtaji nazifanya.
   
 16. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Chukua Agri business ni nzuri sana unasoma uchumi na business adminstrn kwa pamoja ukifulia kabisa ubank teller haukosi muda mwingine hata Loan Officer friend of mine alisoma hiyo course kwa sasa ni loan Officer wa bank fulani.
   
Loading...