kozi ya upolisi inalipa.. iko ccp!
Waau naomba mnisaidie nataka kusoma lkn sijui nisome kozi gani ambayo inalipa kwa sasa, msaada tafadhali!
kozi ya upolisi inalipa.. iko ccp!
Una elimu kiasi gani tukusaidiea? Naona hapa mzaha mwingi!
Political Engineering
hiyo ni fursa nzuri achangamkie mapemanjoo usome medicine-muhas ukifika 3rd year anzisha mgomo (automatically utafukuzwa) uende chadema ukale ruzuku
hiyo ni fursa nzuri achangamkie mapema
A-level, comb😛cm
Waau naomba mnisaidie nataka kusoma lkn sijui nisome kozi gani ambayo inalipa kwa sasa, msaada tafadhali!