Kozi gani inalipa kuisoma sasa hv?

Kozi gani inalipa kuisoma sasa hv?

Hi Wanajamii Forum
[h=1]Kozi gani inalipa kuisoma sasa hv??? Ni Swali nzuri sana lakini Kijana acha Tamaa ya utajiri kwa sasa bado unasafari ndefu![/h]
Acheni mzaha kabisa, huyu kijana inawezekana anahitaji msaada wenu nyie ambao mlishafanikiwa kimaisha, na hivyo inavyoonyesha hawa ni kati ya wale wanaotaka kuibukia kama voda faster asijue kuwa kila kitu kina machungu yake na matamu yake. Kijana mwenye background ya PCM leo unamsaidiaje? kumbuka wanavyokuwa shuleni wanapeana wrong feedback na wasijue lipi ni sahihi, pia kwa level yake kwa sasa hana hata degree ya kuombea maji. Mimi namshauri asomee degree yeyote ya "Science combination" itakuwa na maana sana mbeleni, kwanza Tz tuna shortage sana ya watu wenye fani ya Science. Na pia aelewe tu kuwa wengi wetu tulichokisomea undergraduate siyo tunachofanyia kazi kwa sasa. Namshauri kwa Sasa afikirie masomo zaidi na siyo degree ipi itamtoa...he/or she should invest more in education at the moment! Degree zote zinatoa vizuri sana ni yeye mwenye kujipanga na u-tayari wa ku -acquire knowledge inayohitajika. He/or she should put on mind that si kila aliyekwenda shule alifanikiwa kama alivyotaraji...wapo wengine hata biashara halali zimewatoa vibaya mno ukilinganisha na wenye veti vyao kabatini. Asante.
[h=1]What will happen in future kama hiyo course unayotafuta ushauri kwa sasa ikawa hailipi?? kuwa Serious kidogo, ushauri kama huo hautafutwi kwenye forum ya watu wengi hivi, ona sasa unapata majibu ya kukatisha tamaa![/h]
 
kasomee kupitisha unga uwanja wa ndege chuo kipo pale white house kivukoni!
 
kwani wewe umemufahamije mwalimu mkandawile yule somo lake history nilkuwa nalipenda sana ndo mana history nilitoka na B
hamna kozi inayolipa,soma yeyote cha msingi uwe jembe itakulipa wapo waliosoma bcom ni maskin tu,wapo ni walimu wametoka kwa kuanzisha mageto ya tuition unamkumbuka mkandawili-jembe,kila sector inalipa inategemea na ukakamavu na competence yako
 
Bachelor of Science in Metallurgy and Mineral Processing Engineering
Bachelor of Science in Petroleum Engineering
Bachelor of Commerce in Procurement Management
Bachelor of Science in Accounting and Finance
 
Back
Top Bottom