Kasomee u-traffick kila siku unarudi na mshahara home! Kaz ni kwako...!!
soma masomo yatakayokufikisha kwenye urubani au u-daktari au nishati ya nuklia au u-engineer wa meli, pia kuna taaluma zilizojificha kama taaluma ya kuwa mtaalamu wa baridi cold specialist wengi walio kwenye hii fani ni wajapani. unaweza kutafuta cold specialist katika bara zima la Africa ukakosa hata mmoja na kazi zake zipo kibao ila zimejificha sana huwezi kuzigundua
Unataka kusoma mwakani au. Maana wenzio wanaotaka kusoma mwaka huu wamesha apply vyuo na wamesha jua wanaenda kusoma nini na ni wapi na muda ndo umeshaisha. Your not serious.
Waau naomba mnisaidie nataka kusoma lkn sijui nisome kozi gani ambayo inalipa kwa sasa, msaada tafadhali!
Mi naona hauko serious, unataka kusoma from nowhere!! Ungesema uko na sifa gani, lakini all in all kusomea ualimu usiende, nyingine zote soma hasa moja ambayo huenda mtakuwa wachache Tz inaitwa Bachelors of ACTURIAL science sijajua km tz kuna chuo au lah ila kenya ipo. Kila la kheri[/QUOTE/]
UDSM wanatoa hyo course
Mi naona hauko serious, unataka kusoma from nowhere!! Ungesema uko na sifa gani, lakini all in all kusomea ualimu usiende, nyingine zote soma hasa moja ambayo huenda mtakuwa wachache Tz inaitwa Bachelors of ACTURIAL science sijajua km tz kuna chuo au lah ila kenya ipo. Kila la kheri[/QUOTE/]
UDSM wanatoa hyo course
Thanx mkuu
Daaa!! Dogo km comb yako ni PCM kasome Petroleum &Minerals Engineer yaani hii fani inalipa sana sasaivi kuna watu wanalipwa hadi Usd 20,000, changamka ukasome hii fani utakuja ona matunda yake mwenyewe.
Somea ubongo wa fleva..ukijua tu kusema tu nakupenda basi utapata fursa ya kuwa punda wa madawa then mda mfupi ina pesa kibao.
hiyo coz ya uruban hapa kwetu ipo?na nichuo gan? nahzo cold speclst vp? chuo gan hapa kwetu...!!!
actualy zipo nyingi na siku hizi kama hzo za urubani zina exist kwa sana kila mkoa. Xmple Sumbawanga University, Gamboshi University, etc.
Na kuhusu za cold specialist, kuna Mafinga University, Makete University, Moshi university, etc,
Uchungaji/unabii ni wito mdau, si kukurupuka tu, sina wito huo!Nenda kasomee uchungaji/unabii na kufanya miujiza kwa sasa fani hizi hazina mpinzani kabisaaaaa
kuna mshikaji wangu mmoja Mwarabu ana Mastaers ya petroleum anafanyakazi kampuni moja inaitwa Saudi Aramco ya uchimbaji wa mafuta, analipwa SR 70,000 sasa hii zidisha na pesa yetu ya madafu yaani 70,000x 420 =29,400,000/= kwa mwezi